Natafuta ICT Job.

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Habari JF?

Nime graduate BSc Computer science kwenye chuo kimojawapo nje ya nchi.. Ningependa kufanya kazi nyumbani Tanzania, kwa hiyo ninaomba mwenye taarifa za zitakazowezesha kupata kazi ya ICT..

I am ready to start a job anytime kuanzia August. Naweza fanya hata Assignment based Jobs pia.

Shukrani..

Kuna shirika linaitwa VSO hili nishirika la kujitolea linapokea maombi ya kazi za kujitolea. Kwa Ushindani ulivyo sasa peleka CV yako haraka. tumeomba watu wa IT na watawaleta hivi karibuni, unaweza kuletwa huku. Unalipwa kidogo lakini si haba kulikoni kukaa tu.
 
Mkuu unaweza ukatupa details kuhusu ilo shirika.... ikiwa ni pamoja na eneo walipo au website yao
 
Kuna kampuni inaitwa Softnet ikp upanga mtaa wa Mazengo nenda pale mtafute Gilbert au Mr. Nuru unaweza pata ila inahitaji uvumilivu sana.
 
Kuna shirika linaitwa VSO hili nishirika la kujitolea linapokea maombi ya kazi za kujitolea. Kwa Ushindani ulivyo sasa peleka CV yako haraka. tumeomba watu wa IT na watawaleta hivi karibuni, unaweza kuletwa huku. Unalipwa kidogo lakini si haba kulikoni kukaa tu.

mkuu hili shirika lipo wapi? nipatie contact zake bwana, nimechoka kubweka darasani wakati nina higher diploma ya IT
 
Mkuu unaweza ukatupa details kuhusu ilo shirika.... ikiwa ni pamoja na eneo walipo au website yao

mkuu hili shirika lipo wapi? nipatie contact zake bwana, nimechoka kubweka darasani wakati nina higher diploma ya IT
Sorry I was away and busy I didn't reply in time. Pamoja na contact toka kwa mdau tafadhali angalia na hii hapa VSO Volzone hawa ndo nilio walenga unaanza kwa ku-create account kwa kutumia hiyo link.

I wish you all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom