Nahitaji Digitek decodet

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Naomba msaada, nahitaji king'amuzi cha digitek. Wapi naweza kipata? Nimejaribu kuchek kwenye website yao, namba ya simu haipatikani.

Shukrani.
 
hivi hivi vingamuzi vyao vina station nzuri?????Na kuna station hata moja inayoonesha mpira wa ligi za Ulaya????
 
Back
Top Bottom