Kazi za BOT ilikua kiini macho?

Kazi za BOT ilikua kiini macho?

Moseley

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
187
Reaction score
98
Habari JF?

Naomba kujua, hv kazi za BOT zilizotangazwa October mwaka jana zilikua kiini macho? Kama hawakua tayari kwa nn walitangaza? Au watu washaajiriwa tayari?
 
Kama hujasikia chochote kutoka kwetu basi jihesabu hukufanikiwa...
 
Kama hujasikia chochote kutoka kwetu basi jihesabu hukufanikiwa...
OK. Ila inatia Shaka Sana. Kwa CV Yangu (Experience niliyonayo, Projects nilizofanya, Strong education background) na kazi niliyoomba am sure Interview ningeitwa. Though yawezekana kulikua na watu wako vizuri kuliko Mimi but sioni sababu ya kutokuitwa hata kwenye interview.
 
OK. Ila inatia Shaka Sana. Kwa CV Yangu (Experience niliyonayo, Projects nilizofanya, Strong education background) na kazi niliyoomba am sure Interview ningeitwa. Though yawezekana kulikua na watu wako vizuri kuliko Mimi but sioni sababu ya kutokuitwa hata kwenye interv



Hizi kazi zimekuwa na zengwe nyingi sana.
 
OK. Ila inatia Shaka Sana. Kwa CV Yangu (Experience niliyonayo, Projects nilizofanya, Strong education background) na kazi niliyoomba am sure Interview ningeitwa. Though yawezekana kulikua na watu wako vizuri kuliko Mimi but sioni sababu ya kutokuitwa hata kwenye interview.

Hizo ulizotaja zote ni sifa za ziada, kufanya kazi BOT sifa ya msingi ni kuwa mtoto wa kigogo. I am sorry kama unayo hiyo lakini bado haukuitwa
 
Only shortlisted candidates will be contacted:israel:
yes ofcoz. But issue za kitaalam hazihitaji zengwe. Am sure nina ujuzi mzuri ambao ningeweza kuutumia pale BOT. Naingiwa wasiwasi na hiyo shortlist. Ngoja tuendelee kujenga private institutions. But nchi hii haitaendelea maana haijali na kuthamini vipaji.
 
Kwani wewe upo kwenye system?mtoto wa vigogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom