JK: Hana uwezo wa kunyeshea Kidatu.. Umeme utarudi, Mungu akipenda..

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
93
JK kasema hana uwezo wa kunyeshea mabwawa, kwa hiyo anasikilizia siku mvua itakaponyesha umeme utarudi..

Amesikitika kwamba, hata yeye inamuuma kuona umeme haupo, ila angeweza angenyeshea fasta.. Tusubirini mvua inyeshe, mgao utaisha...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom