Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 94
Ni kwanini JK alikwepa kujibu hoja ya Sir Tim Berners-Lee wa W3C kuhusu IT technology in Education huko Davos? Au ndo kusema we still manufacturing teachers and textbooks?? Una maoni gani kuhusu mtizamo wa serikali juu ya IT? Je, serikali ya Tanzania iko tayari kweli ku invest kwenye IT kama ilivo Rwanda au ndo tumezoea vitu vya manual? Hatuoni kwamba IT ni sehem mhimu ya kuiunganisha Tanzania na kupunguza gharama zisizo za msingi?
Badala yake karukia kwenye swala jingine ambalo nalo kayakoroga na kusababisha Mele Zenawi ku mchallenge?
Check hii video kuanzia dakika ya 41 na sekunde 18
Ilikua hivi:
Badala yake karukia kwenye swala jingine ambalo nalo kayakoroga na kusababisha Mele Zenawi ku mchallenge?
Check hii video kuanzia dakika ya 41 na sekunde 18
Ilikua hivi:
- Sir Tim Berners-Lee wa World Wide Web aliitwa kuja kuelezea (41:18 hadi 42:58) ni namna gani Africa itatumia web kama namna ya ku promote Economic development .. Baada ya hapo, Gordon Brown akaisisitiza (42:58 to 43:16) hiyo point na kumtupia JK kuwa ni kwa namna gani wanaweza tumia IT technology in Education ukilinganisha kwamba watoto zaidi ya million 35 hadi 40 hawako shule.. So, ni kwa namna gani wataweza tumia IT ku push gurudumu la maendeleo.
- _______
- Badala yake mkuu karukia swala jingine la kuhusu Infrastructure kwa kuwavutia wawekezaji wamfate waweke mambo sawa kuhusu deals.. Hata hivyo point yake kuhusu Infrastructure imekua challenged na Mel Zenawi ambaye amesema kuwa the Washngton policy on Africa infrastructure will not work, maana policy hiyo inasema "Private sector ndo zipewe kazi ya infrastructures na si Public sectors" , badala yake amesema inafaa "Sehemu kubwa ya utengenezaji wa Infrastructure Ipewe Public sectors na kinachobaki Private sectors"
- Swali langu kuu, ningependa kujua Rais wangu alijibu nini kuhusu IT? au ndo swali liliwekwa kapuni?
Last edited by a moderator: