Tanzania "Education Management Information System"

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Habari wana JF, Naomba kufahamu changamoto zinazoikabiri Tradition(Manual) Information system katika sekta ya Elimu.. Especially Secondary schools pekee..

Nataka kufahamu

  • Matatizo yanayowakabili walimu katika ku process taarifa zao za siku hadi siku mashuleni.. Hii nikimaanisha processing ya activities zao kama generation ya report za madarasa wanayofundisha, na mambo mengine yanayohusiana na hayo
  • Mfumo wa uandaaji wa reports na upatikanaji wa taarifa kwa shule nzima kwa ujumla.. Hapa namaanisha maeneo yote yanayohusiana na Ku manage day to day activities za Shule za secondary..
  • Mfumo wa Processing taarifa kutoka mashuleni kwenda kwenye regional/district office mpaka taifa..
  • Anyway waweza point out maeneo yeyote unayodhani yanahitaji solution za efficient Information System inayoweza kusaidia Secondary schools (Ordinary and Advanced)
Shukrani.
 
Hongera kwa kuliona tatizo, tembelea shule za binafsi na za mashirika ya dini zinazofanya vizuri kitaaluma utapata mbinu mpya zilizoboreshwa ktk uendeshaji. Pia unaweza watembelea. Tahosa na haki elimu hawa nao wanazo takwimu zenye uhakika kujibu maswali yako.
 
Back
Top Bottom