Worst InterView Ever

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
93
Nimekua nikipenda nyimbo za huyu jamaa, ila kwenye hii interview naona kateleza.. Ofcourse kuna mambo kadhaa ya mhimu kayasema, kama kuhusu watu kutumia English kwenye movies halafu hata ki-English chenyewe hawakijui.. Pia kuhusu Editors ambao wanafanya hovyo wakati wa ku edit movie...

But, alikosea sana kutumia abusive language, and seems hafahamu kuji express kwenye public coz he was talking as if yuko kijiweni but was on the public...

Jipange bro, Unaweza poteza mashabiki...

Last edited by a moderator:

msamehe na endelea kumpenda mkali PHD
 
Last edited by a moderator:
Bahati nilikua hata simjui... Na sasa nimesha mjua nimeona ni movies gani za kupotezea
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom