Servlet & JSP using Apache Tomcat SERVER

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Habari,

Naomba msaada wa jinsi ya ku run Servlet kwa kutumia Apache Tomcat server (Natumia tomcat 7), with JDK kwenye windows.. JDK seems to work fine..

Nimecreate form tag kwenye .html file na I called the servlet, but it didn't respond as how I wanted it to.. So, may be nimekosea kuiweka servlet katika folder husika.. Au some configurations sijazifanya vizuri... Naomba pia kufahamu, JAVA_HOME environment variable ina uhusiano gani hasa na Configurations za Tomcat apache server
 
Its always hard kuapata ushauri mzuri unapoelezea tatizo la program kama tamthilia. Au maneno kama it didnt respond how I wanted. Ni kama unamuelezea mtu aliye karibu hiyo kompyuta unayofanyia kazi

Weka hizo code za hatml au servelet watu waelimike na kuelimishana kiprogram program.

Au vipi kamanda
????? Otheriwise Make google your best friend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom