Masaburi ni kitu gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masaburi ni kitu gani?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Moseley, Sep 4, 2011.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiki kiswahili kimenishinda.. Kuna mahali naona watu wana comment, "kufikiri kwa kutumia masaburi".. Masaburi ni nini hasa??..

  Shukrani
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  masaburi ni makalio ndugu yangu,,, msamiati huu mupya umekuja baada ya mwanasiasa mmoja kama sikosei ni meya wa kinondoni or something, sina uhakika sana, alikua anawaambia wenzake acheni kufikiria kwa kutumia makalio,,, sasa wabongo si unajua hatuchelewi,, fasta tu, makalio yakabandikwa jina masaburi
   
 3. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  huyo ni meya wa jiji la dar mkuu
   
 4. P

  Pepo Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Masaburi ni ******!
   
 5. P

  Pepo Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  mabulungutu mawili ya nyuma ya mwili wako baada ya mgongo
   
 6. M

  Maengo JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kwa juu au kwa chini?
   
Loading...