Search results

  1. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahuzunisha sana !Sijui ni ubaguzi au nini? Ipo hivi, Kuna kijana yupo zanzibar, kwa muda sasa. Jumapili aligongwa na gari akiwa pembeni ya Barabara, baada ya kumshusha mkewe kwenye kibaiskel chake abaki kibandani, ili yeye akafuate mzigo wa kuongeza kitandani chake. Madhara aliyoyapata...
  2. D

    Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
  3. D

    Nimeshangazwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kutotaka Bodi ya kitaalam ya Walimu

    Habari! CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu...
  4. D

    Kupunguza chumvi kwenye maji ya visima ili yafae kunywa

    Nimemuuliza jamaa yangu tuliyesoma nae yeye alikuwa bingwa wa kikariri hivyo alisoma science ya bongo. Ni vipi nitapunguza chumvi chumvi kwenye kisima changu kaniambia nunua chumvi ya mawe kama kilo tatu halafu kamwage kwenye hicho kisima,kisha anakata simu! Sasa nimempigia saana...
  5. D

    Ole wake MO ajiuzulu,maana hapendi kuhoji 2oB.

    Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu. Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe. Mikataba...
  6. D

    Wageni wengine bwana du!

    Nawasalimu! Naomba nieleweke nyumba inayotembelewa ndo nyumba yenye baraka. Hivyo nisitafsiriwe kama mchoyo. Ipo hivi nimetembelewa na shemeji zangu wawili mmoja 15 na mwengine 17 hivi,japo nimeshangaa kwetu sio rahisi kutembelewa na shemeji kama dada yao hujamuoa kindoa,sasa kama tulivyo wengi...
  7. D

    MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

    Lekaga gete, nahene milimo. Mlimpola bhagosha bhane! Shalom! Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha...
  8. D

    Naomba kujua uwezo wa Suzuki Carry (Minivan)

    Suzuki Carry Habari zenu! Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu: 1. Uwezo wa kubeba(maximum weight). 2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling). 3. Je inaweza rough roads hasa mikoa isiyokuwa na milima mikali au maeneo yenye miinuko ya wastani. 4...
  9. D

    Naombeni ushauri uvimbe huu unanitesa

    Naombeni ushauri au tiba. Mimi nasumbuliwa na tatizo la uvimbe chini ya tako la kushoto katikati ya korodani na njia ya haja kubwa! Tatizo lilianza kutokana na kupata choo ngumu, hivyo kila ninapopata choo inayohitaji kusukuma kuna kijiuvimbe hushuka pembeni ya njia ya haja kubwa na kina...
  10. D

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Habari zenu wana SADC! Yaliyonikuta baada ya kwenda kwenye branch moja ya Bayport kuuliza loan ni dhihaka, misonyo,kejeli ,na kauli za kipuuzi ooh Mara loan balance inafanana Rv ya kwenye salary slip ,hivyo nimejichosha kwenda. Mara tena, kwanini umekuja maana sisi pesa hatupokei pesha kutoka...
  11. D

    U17-Tanzania:Kocha wetu sijui tulimwamini vipi

    Jamani poleni! Huyu kocha wetu wa u17ya Tanzania hivi mpaka tunampa timu tulizingatia ni nini au kujua kuongea kiingereza au mpira hauhitaji 'experience" maana sijui aliwahi kufundisha klabu gani ,mtu asije na bla bla za Gabon eti alikuwa kocha msaidizi. Sasa kwa mujibu wa baadhi ya wachezaji...
  12. D

    Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

    Ibrahimu Ajibu! Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi, Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri aliwapupia ,sasa simba wapo vizuri anawapupia mno amesahau walivyompuuza. Ukweli ni kuwa hana...
  13. D

    Ombi:Takukuru tunaomba muichunguze club ya yanga.

    Mimi nina waswas sana pale kuna kitu kinafichwa, na nisifiche kuna ubadhirifu wa pesa za club. Haiwezekani mtu anaejiamini akaogopa uchaguzi tena anagawa kaki eti watu wamshindikize tff na matalumbeta yakipigwa. Tena mtu kaitwa na kamati ya maadili, sijui itamsaidiaje ? Tetesi zinadai kuwa...
  14. D

    Hatimae Kaduguda is back yaani sijui itakuwaje?

    Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno? Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
  15. D

    Ubaguzi unauma usikie tu; Ninabaguliwa eneo langu la kazi

    Jamani nilikuwa sijawahi kubaguliwa ,ila kwa ubaguzi tunaofanyiwa na maofisa wetu kazini, lazima ujiskie vibaya.Kama inavyofahamika Wengi tupo kazini kutafuta pesa au riziki ili tuendeshe maisha yetu na ya wanaotuzunguka. Kazini kuna pesa halali za aina nne; 1- Zawadi inayotolewa na kwa...
  16. D

    Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Kasi yako haitoshi

    Mh. Samahan sana lengo sio kukuharibia. Pia zipo kazi nzuri ambazo unaendelea kuzitekeleza. MKUU huo mkoa wetu unakila kitu kinachohitajika ili mkoa wetu uendelea. Mfano:mkoa unalima: kahawa ndizi maharagwe na jamii zake michikichi tangawizi alizeti tumbako miwa mihogo mahindi nk Pia mkoa una...
  17. D

    Tulionyang'anywa watoto na sisi tuitwe kwa Makonda

    Hakuna kitu kinauma kama kunyimwa nafas ya kuchangia kimalezi na kifalsafa katika ukuaji wa mtoto wako. Mimi nilipata kuzaa na mwanamke mmoja katika ndoa,japo ndoa hiyo ilivunjika. Sasa mwanamke huyo pamoja na kuolewa tena hataki kumupeleka mtoto shule(chekechea), anadai bado mdogo (4yrs) tena...
  18. D

    Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

    Habari zenu! Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka. Sisi wadau wa soka tunajua Karia ni mshabiki wa wazi wa Simba, tumshauri tu apunguze mahaba, sijawahi kusikia Rais kuenda kutoa...
  19. D

    Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

    Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most beautiful living lady ever seen. Mwenye mawasilano yake ani PM. Nikipata namba yake au mawasiliano yake...
  20. D

    Tatizo namba moja la Yanga ni Clement Sanga

    Habari wanamichezo! Tangu kujiuzulu kwa Manji kwenye timu ya Yanga, sauti ya mamlaka ya kiuongozi imepotea! Huo ndo ukweli hata ukibisha. Tatizo la Mzee Sanga ni kupenda madaraka ambayo pia hajui atayapataje, yupo yupo tu kifupi hajielewi. Kajaribu kuwajaza watendaji wa upande wake lakini nao...
Back
Top Bottom