Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,016
2,000
Habari,

Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao?

1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.

2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu.

3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu

4. Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi, wanasubiri mfumo.

5. Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?

Ku-update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?

Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate?

Mifumo nahisi inaicheleweshea serikali mapato.
 
JoshJ

Member
Jul 11, 2015
5
45
Nilimpereka mgonjwa Hosptalini alikua anatumia Bima MFUMO ULISUMBUA masaa mawili tunasubiria mfumo ukae sawa mpaka tukaamua kutumia cash
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,547
2,000
Habari!
Mungu nakutumaini wewe tu!
Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za serikali kimtandao?
1.Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2.Wapo wanao subiri check no#.kwa muda mrefu.
3.Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4.Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi,wanasubir mfumo!
5.Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

*Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?
Ku update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?
Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate.?

Wataalamu njooni.
Mifumo nahisi kunaicheleweshea serikali mapato.
Sehemu pekee mfumo unafanyakazi vizuri ni kituo cha polisi
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
16,257
2,000
Habari!
Mungu nakutumaini wewe tu!
Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za serikali kimtandao?
1.Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2.Wapo wanao subiri check no#.kwa muda mrefu.
3.Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4.Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi,wanasubir mfumo!
5.Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

*Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?
Ku update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?
Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate.?

Wataalamu njooni.
Mifumo nahisi kunaicheleweshea serikali mapato.
Nilikwenda kwenye ofisi moja kwa hitaji muhimu sana nikaambiwa hivyohivyo, kwakuwa nilikuwa upande wa nyuma ya computer yake huyo mhudumu nikagundua waya wa network haujachomekwa vizuri zile taa ndogo mbili zilikuwa hazi blink, nikamuuliza je mtandao ukikaa vizuri nitapata huduma? Akanijibu "ndiyo maana yake" huku akiwa anakula fruit salad yake, basi nikakandamiza ule waya baada ya muda nikagundua network imerudi,nikamwambia naona mambo yamekaa sawa sasa hebu ingia kwenye mfumo wako, akaingia nikapata huduma akanitazama hakunimaliza nikawa nimeodnoka, siku nyingine nikapita hapo nikakuta wanawake wawili wamkaa wanasubiri huduma nao wanalalamika habari za mfumo unasumbua nikajua ni yaleyale ya kulegeza waya makusudi ili tu wapumzike na kufanya mambo yao binafsi kwa kisingizio cha mfumo.
 
BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
1,630
2,000
Mfumo uko chini..hata benki hii kitu ipo..changamoto za kawaida za technolojia.
 
kitowowoti

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
356
250
Habari!
Mungu nakutumaini wewe tu!
Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za serikali kimtandao?
1.Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2.Wapo wanao subiri check no#.kwa muda mrefu.
3.Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4.Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi,wanasubir mfumo!
5.Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

*Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?
Ku update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?
Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate.?

Wataalamu njooni.
Mifumo nahisi kunaicheleweshea serikali mapato.
system'taasisi moja Kama halmashauri ya wilaya X ina mfumo wa"epicor Lawson, posMapato, kodi ya Ardhi, ipsas, bank .nadhani si free ina gharama, ukigoma mmoja unaatbiri mingine yote,. mingine imejengwa na watu banafsi inatumiwa na taasisi za umma Nani anajua info zinaishia wapi! hivi Kama pale bandarini haiwezekani kuwa na mfumo mmoja unaosimamiwa na boss mmoja?. hebu rejea mfumo wa Nmb foleni ile inaathiri uzalishaji nchi nzima. kuna haja ya kujifunza hata Rwanda.
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,168
2,000
Habari!
Mungu nakutumaini wewe tu!
Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za serikali kimtandao?
1.Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2.Wapo wanao subiri check no#.kwa muda mrefu.
3.Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4.Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi,wanasubir mfumo!
5.Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

*Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?
Ku update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?
Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate.?

Wataalamu njooni.
Mifumo nahisi kunaicheleweshea serikali mapato.
Nje ya mada, nilienda posta kwa ajili ya WU wakanambia system down nikaenda bank ya jirani dakika kadhaa nikamaliza huduma. Nadhani serikali ina changamoto sana kwenye utoaji wa huduma. Ingetoa zabuni kwa watu binafsi kwa huduma ambazo si lazima wao kufanya. Kama walivyofanya kulipia mishahara kupitia mabenki, kulipia ankara kupitia simu/benki n.k. Inapunguza the so called system down😂😂😂
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,346
2,000
E-government inakaribia kuwa janga. Kazi zinasimama kwa siku kadhaa kwa sababu ya kukosekana kwa mtandao
 
DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,016
2,000
Nilikwenda kwenye ofisi moja kwa hitaji muhimu sana nikaambiwa hivyohivyo, kwakuwa nilikuwa upande wa nyuma ya computer yake huyo mhudumu nikagundua waya wa network haujachomekwa vizuri zile taa ndogo mbili zilikuwa hazi blink, nikamuuliza je mtandao ukikaa vizuri nitapata huduma? Akanijibu "ndiyo maana yake" huku akiwa anakula fruit salad yake, basi nikakandamiza ule waya baada ya muda nikagundua network imerudi,nikamwambia naona mambo yamekaa sawa sasa hebu ingia kwenye mfumo wako, akaingia nikapata huduma akanitazama hakunimaliza nikawa nimeodnoka, siku nyingine nikapita hapo nikakuta wanawake wawili wamkaa wanasubiri huduma nao wanalalamika habari za mfumo unasumbua nikajua ni yaleyale ya kulegeza waya makusudi ili tu wapumzike na kufanya mambo yao binafsi kwa kisingizio cha mfumo.
Ndo maana nikauita urasimu mpya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom