Hatimae Kaduguda is back yaani sijui itakuwaje?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,050
1,220
Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?

Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
 
Huu sio mfumo wa majungu wala vikao vya kahawa.Wajumbe wa Bodi wanatengeneza sera ambazo zinatekelezwa na sekreterieti.
Hawana nafasi ya moja kwa moja ya kazi za kila siku za Simba.
Wakishatengeneza sera wanawapa watekelezaji wafanye kazi.
Wapo wataoajiriwa kwa kazi hiyo.Ni mtindo wa kisasa unaomaliza tabia ya klabu kuendeshwa kienyeji.
 
Wataelewaatyuu mpwaaaa kajaaa

Ngojaa nkakojoe kwanza
 
Huu sio mfumo wa majungu wala vikao vya kahawa.Wajumbe wa Bodi wanatengeneza sera ambazo zinatekelezwa na sekreterieti.
Hawana nafasi ya moja kwa moja ya kazi za kila siku za Simba.
Wakishatengeneza sera wanawapa watekelezaji wafanye kazi.
Wapo wataoajiriwa kwa kazi hiyo.Ni mtindo wa kisasa unaomaliza tabia ya klabu kuendeshwa kienyeji.
Jidanganye wew hiyo timu ni ya wanachama ,tens wananguvu ya maamuz
 
Huu sio mfumo wa majungu wala vikao vya kahawa.Wajumbe wa Bodi wanatengeneza sera ambazo zinatekelezwa na sekreterieti.
Hawana nafasi ya moja kwa moja ya kazi za kila siku za Simba.
Wakishatengeneza sera wanawapa watekelezaji wafanye kazi.
Wapo wataoajiriwa kwa kazi hiyo.Ni mtindo wa kisasa unaomaliza tabia ya klabu kuendeshwa kienyeji.
Exactly... Ni zaidi ya mfumo wa kale.
 
Unaijua katiba mpya ya Simba?Kuna Bodi ya wakurugenzi. Mwenye last say ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi naye ni mwekezaji.
Kulikuwa na bodi ya wakurugenzi ya dharura .
Baada ya uchaguzi kwa mfumo huo mpya hamna longolongo wa vikao vya majungu.
Sera itakayotengenezwa itakuwa na mipaka kwa kila mjumbe.
Kama ulidhani magumashi yataendelea utaona mwenyewe.
 
Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?

Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
Ndani ya miezi sita watamtimua maana hatakubali upuuzi upuuzi wao.
 
Unaijua katiba mpya ya Simba?Kuna Bodi ya wakurugenzi. Mwenye last say ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi naye ni mwekezaji.
Kulikuwa na bodi ya wakurugenzi ya dharura .
Baada ya uchaguzi kwa mfumo huo mpya hamna longolongo wa vikao vya majungu.
Sera itakayotengenezwa itakuwa na mipaka kwa kila mjumbe.
Kama ulidhani magumashi yataendelea utaona mwenyewe.
Wadanganye mbumbumbu wenzio,iwe je last say itoke kwa mtu mwenye minority share?. Wanachama bado wana nguvu
 
katka maswala ya hisa mwenye sauti ni yule mwenye hisa kubwa mwekezaji ana hisa 49 wanachama wana hisa 51 kama ikitokea kutokuelewana maamuzi yatafanywa kwa wingi wa hisa
Unamaanisha wanachama ambao uwakilishi wao ni wa akina kaduguda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom