Search results

  1. babamwenyenyumba

    Huu wimbo wa msanii Ambwene Mwasongo ni moto

    Ni huyu msanii wa injili ametokea kunikosha sana na nyimbo zake ila hii NIMEACHILIA ni ya moto sana...inagusa hisia sana za vijana tunayopitia... Nyimbo ina liwaza, elimisha na inaponya.binafsi mimi ni muislam lakini napenda sana kumsikiliza kwetu hatuna ubaguzi na dini....dini tumezikuta na...
  2. babamwenyenyumba

    Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  3. babamwenyenyumba

    Mwanake akiamua kukusaliti atakusaliti tu

    Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana tena asiyetabilika. Ukilia mwenzio anacheka, ukicheka mwenzio analia. Mara zote wao ndio huwa wanapenda kufanya tuonekane sisi wanaume tuna makosa mbele za jamii kumbe chanzo ni wao. Huyu alikuwa mke wangu na nilibahatika kupata naye mtoto mmoja. Sikuwahi...
  4. babamwenyenyumba

    Msaada Glass tachi ya huawei mate 20 pro

    Msaada ninapoweza kupata tachi ya hiyo simu hata kama ni used ili mradi haina crack .napatikana Dar
  5. babamwenyenyumba

    Watani wa jadi wakitimiza ahadi

    Matani sio mazurii...hichi ndicho kinaendelea uswahilini kwetu
  6. babamwenyenyumba

    Nina samsung A70 nahitaji wa kubadilishana na A9 pro 2016

    Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu nilishawahi tumia nikaibiwa. Nilijaribu zunguka madukani nikaikosa mwenye interest aje pm tuyajenge...
  7. babamwenyenyumba

    Tucheke ki corona

    Mjini shuleee
  8. babamwenyenyumba

    Msaada nyumba ina mauzauza

    zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda...
  9. babamwenyenyumba

    Huawei mate 8 nxt l29

    Nahitaji display ya simu tajwa hapo juu iwe mpya au hata used very agent.asante
  10. babamwenyenyumba

    HABARI NZURI KWA WAPENZI WA SIMU ZA XIAOMI

    wanakuletea mwonekano mpya wa simu ambayo camera yake ipo chini ya kioo .... fungua link kwa maelezo zaidi [Xiaomi Weekly News #10] Xiaomi Under-display Camera Technology Coming, Mi Band 4 and More! http://c.mi.com/thread-2220513-1-0.html
  11. babamwenyenyumba

    Kioo cha samsung note 3 9005

    Natafuta kioo cha samsung note 3 used tajwa hapo juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. babamwenyenyumba

    Kadi ya gari yenye jina David Joel Dadi. No ya gari T520DBY toyota corolla imeokotwa

    yenye jina David joel dadi. No ya gari T520DBY toyota corolla. awasiliane na potalvin3@gmail.com
  13. babamwenyenyumba

    Leo wakazi wa Kigamboni tumekomeshwa, Kivuko kimoja tu kinafanya kazi

    Leo tarehe 18.1.2018 wakazi wa Kigamboni tumeisoma number kwa kirumi ni baada ya usafiri wa pantoni kusumbua.hapa ferry kuna pantoni tatu lakini kwa siku ya leo inayofanya kazi ni moja tuu.tena ile ndogo imezidiwa kwa kweli watu ni wengiii imebidi iwe inachukua abiria tu na kuwavusha huku wenye...
  14. babamwenyenyumba

    Msaada jinsi ya kuweka setting sim message kwenye ttcl.

    Husika na kichwa hapo juu naomba kuelekezwa nataka nijaze manual setting sim message center kwenye modem yangu ya ttcl
  15. babamwenyenyumba

    Happy birthday kwangu

    Nijitakie heri ya kuzaliwa.Mungu ni mwema nimepitia mengi ila nazidi kumshukuru kwa yote.
  16. babamwenyenyumba

    Msaada wa hii simu imenishinda

    Jamani ni mda tu natumia simu aina ya samsung note 3.jana nimepatwa na tatizo la screen kutumika nusu namaanisha icon zimekuwa ndogo, kila nikiset font hakuna msbadiliko naombeni msaada.viandishi vimekuwa vidogo hadi macho yananiuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. babamwenyenyumba

    Mtandao wa Tigo acheni hizi

    Wahusika wa huu mtandao naomba mjirekebishe kwa kweli mnatuumiza sasa wananchi wenye vipato vya chini. Tatizo lenyewe ni huu wizi wa kuwaunganisha wateja wenu vifurushi bila wahusika kujiunga yaani mkiona tu mteja amebakiza salio kwenye simu yake mtafanya kila njia muichukue. karibia miezi...
  18. babamwenyenyumba

    Jihadharini na utapeli huu

    Mida ya asubuhi leo napokea sms hii kutoka kwa babu(mganga).hivi hawa matapeli number zetu huwa wanatoa wapii?? Nimejifanya kumwambia babu umekosea number ila na mimi nataka huo utajiri ili nimdake.kanipigia sijapokea simu ilikuwa silent.
  19. babamwenyenyumba

    AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

    Kuna ajali imetokea mida hii saa 11.00 usiku maeneo ya kimara baruti.basi limeingia kwenye kitoa cha mabasi ya mwendo kasi. Updates: Abiria wote wametoka salama.konda pekee ndio aliyepata majeraha kidogo.
Back
Top Bottom