karibuni kwa huduma za internet na web

Wewe ndiye uliyetakiwa kuniunga bundle la mwaka mpaka sasa hujanifanya lololte zaidi ya kunipa application tu.Hivi mkiwa waaminifu na kufanya kazi zenu kwa weledi hamjui ya kuwa ndio msingi wa maendeleo ya kazi zenu angalieni haya mtakutana na watu wanaomwachia Mungu alafu mambo yenu yashughulikiwe na Mungu maana sidhani kama Mungu anafurahia Mja wake nikitapeliwa peupe atafanya njia
 
mkuu mie ni mjumbe tu nimeungwa hilo bundle kwa free then kazi yangu ni kuleta jf hilo tangazo hope umenielewa mkuu
 
Nitawaexpose mpaka mnirudishie hela zangu
Nitawafungulia uzi na pia TCRA watawashughulikia
 
Back
Top Bottom