mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,369
- 6,531
Ni huyu msanii wa injili ametokea kunikosha sana na nyimbo zake ila hii NIMEACHILIA ni ya moto sana...inagusa hisia sana za vijana tunayopitia...
Nyimbo ina liwaza, elimisha na inaponya.binafsi mimi ni muislam lakini napenda sana kumsikiliza kwetu hatuna ubaguzi na dini....dini tumezikuta na tutaziacha...tufanye mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.