mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,370
- 6,533
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana tena asiyetabilika. Ukilia mwenzio anacheka, ukicheka mwenzio analia. Mara zote wao ndio huwa wanapenda kufanya tuonekane sisi wanaume tuna makosa mbele za jamii kumbe chanzo ni wao.
Huyu alikuwa mke wangu na nilibahatika kupata naye mtoto mmoja. Sikuwahi kumsaliti na kila alichotaka nilimnunulia tena kwa wakati, ila niliambulia pressure na vidonda vya vitumbo.
Huyu alikuwa mke wangu na nilibahatika kupata naye mtoto mmoja. Sikuwahi kumsaliti na kila alichotaka nilimnunulia tena kwa wakati, ila niliambulia pressure na vidonda vya vitumbo.