AJALI: Basi la Princess Muro lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
5,256
6,204
Kuna ajali imetokea mida hii saa 11.00 usiku maeneo ya kimara baruti.basi limeingia kwenye kitoa cha mabasi ya mwendo kasi.
1458940732776.jpg
ATTACH]
1458940851420.jpg
1458940898670.jpg


Updates:
Abiria wote wametoka salama.konda pekee ndio aliyepata majeraha kidogo.
 

Attachments

  • 1458940805950.jpg
    1458940805950.jpg
    100.7 KB · Views: 18
Duuuu wameanza kuharibu vituo mapema, wakat sisi tunasubiria waendelee kuvifanyia marekebisho

Tunamshukur MUNGU kwa kuwatoa salama
 
Back
Top Bottom