babamwenyenyumba JF-Expert Member Apr 20, 2013 5,161 5,971 Dec 28, 2017 #1 Husika na kichwa hapo juu naomba kuelekezwa nataka nijaze manual setting sim message center kwenye modem yangu ya ttcl
Husika na kichwa hapo juu naomba kuelekezwa nataka nijaze manual setting sim message center kwenye modem yangu ya ttcl
ISO M.CodD JF-Expert Member Feb 17, 2013 7,280 15,315 Dec 28, 2017 #2 Shida hasa ni nini? Kwanini unataka ufanye hayo?