Nina samsung A70 nahitaji wa kubadilishana na A9 pro 2016

babamwenyenyumba

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
5,161
5,971
Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu nilishawahi tumia nikaibiwa. Nilijaribu zunguka madukani nikaikosa mwenye interest aje pm tuyajenge.

Asante
 
Yako ina muda gani?
Maana yangu still mpya haina hata dot..
Japo M nahitaji pesa zaidi boss, hizo A-series za miaka hii hapana.

Kwa madukani sijui k.koo Sahauuuuu...
Mimi nilitafta kila chocho lkn wapi,
Nikaagizia nje na kuna mtu nimemtaftia mpk leo hamna kitu,
Asaiv hata online huipatii.
Labda ndani ya siku mbili hizi.
 
Haina hata doa
FB_IMG_15813391693235621.jpg
FB_IMG_15867552967605658.jpg
FB_IMG_15869640769363304.jpg
FB_IMG_15867553213042946.jpg
FB_IMG_15867553341612899.jpg
FB_IMG_15846834726219056.jpg
FB_IMG_15867553056374245.jpg

Hii screenshot ya Battery life, soma mda hapo, nimepga hii asubuh.
Tangu nii charge mpk sasa yamepita masaa 27, na bado 6 mbeleni.
Screenshot_20200420-075604.png
 
Hivi hii simu ya mwaka 2016 ina nini cha ziada?

Watu wengi sana nimekutana nao wakiitafuta bila mafanikio, mpk nimetamani kuijua.
 
Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu nilishawahi tumia nikaibiwa. Nilijaribu zunguka madukani nikaikosa mwenye interest aje pm tuyajenge.

Asante
Cash by goods itakuwa ni sh ngap mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ubadilishe a70 na a9 pro 2016 daah its either we jamaa hujui simu ( msukuma) au io a70 yako ni mbovu.
Nashauri kama una hio a9 pro mtafute huyu jamaa chapchap kabla akili hazijamrudi akabadili mawazo🤣🤣🤣
Just kidding mkuu anyway hio a9 pro ukiachana na kuwa ngumu(gorilla glass 4) labda na kukaa na charge kitu gani kingine kimeipata a70??

Tunatofautiana sana..
Sasa na mm siwezi fanya exchange ya A9 pro yangu kwa a70, ndio maana nikamwambia bora afanye pesa ninunue simu nyingne ila Hata km nimelala siwezi nunua A-series za mwaka jana au huu, Mm simu ikiwa tu plastic body hunishikishi, na pia mm sio mpenzi wa water drop notch display.
 
mkuu mbona a20 tu ni glass body,a70 inakuwaje plastiki??

hawa jamaa nao sometimes wanataga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatofautiana sana..
Sasa na mm siwezi fanya exchange ya A9 pro yangu kwa a70, ndio maana nikamwambia bora afanye pesa ninunue simu nyingne ila Hata km nimelala siwezi nunua A-series za mwaka jana au huu, Mm simu ikiwa tu plastic body hunishikishi, na pia mm sio mpenzi wa water drop notch display.

Mkuu tunatofautiana sana mimi simu kuwa glass au plastic nyuma au kwenye frame inafata baadae sana huwa naangalia vitu vingine kabisa.
Sasa mfano mimi kama ni kununua Samsung nitanunua Aseries za mwaka huu( natumia iphone) specifically maybe A71 naona iko vizuri chipset nzuri ram nzuri camera bomba betri kubwa pia jinsi ilivyo tu simu ni nzuri. Kingine nakitahidi sana simu nitakayonunua iwe imetoka mwaka huohuo au mwaka jana maswala ya kununua simu imetoka 2016 hapana aisee

Ahaa, sasa hizo specs zote ulizotaja nazipata kwenye simu yangu ya pili, mm hii siitegemei kbsa kwenye hizo specs boss.
 
Back
Top Bottom