mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,362
- 6,480
Nijitakie heri ya kuzaliwa.Mungu ni mwema nimepitia mengi ila nazidi kumshukuru kwa yote.
Hahahaha 30 ndugu yangu uhenga uleeeeeeeHappy birthday....unaingiza mingap leo muhenga mwenzangu
Hongera mkuu...uishi zaidi na zaidiHahahaha 30 ndugu yangu uhenga uleeeeeee
Amen mkuuHongera mkuu...uishi zaidi na zaidi