mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,256
- 6,204
Mida ya asubuhi leo napokea sms hii kutoka kwa babu(mganga).hivi hawa matapeli number zetu huwa wanatoa wapii?? Nimejifanya kumwambia babu umekosea number ila na mimi nataka huo utajiri ili nimdake.kanipigia sijapokea simu ilikuwa silent.