mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,362
- 6,480
Wahusika wa huu mtandao naomba mjirekebishe kwa kweli mnatuumiza sasa wananchi wenye vipato vya chini.
Tatizo lenyewe ni huu wizi wa kuwaunganisha wateja wenu vifurushi bila wahusika kujiunga yaani mkiona tu mteja amebakiza salio kwenye simu yake mtafanya kila njia muichukue.
karibia miezi minne mimi nilikuwa nashindwa kuacha salio kwenye simu yangu kwa hofu ya kukatwa salio langu kila nikiwapigia tigo wanadai nitakuwa nimejiunga kifurushi ukweli sijawahi jiunga na hivo vifurushi vyao vya ajabu ajabu.
juzi nikawapigia tena ndipo katika kuangaliangalia huko wakadai nimejiunga kifurushi cha HADITHI nusura nimtukane yule customer care.simu mda wote ninayo mwenyewe iweje nijiunge kwenye huo upuuzi?!
Ukizingatia sijawahi ona hadithi yoyote kwa simu yangu.nikapunguza hasira nikamwomba anipe njia ya kujitoa kwenye huo upuuzi nikafanikiwa kujitoa jana nakuta wameniunga tena automatic huu so mtu kama haupo makini utalia kila
siku.