Search results

  1. pinno

    Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake. Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
  2. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010). Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe kama Pinno nilikuwa nimeshaipa hii Album hii tuzo, kimoyomoyo, kama tu ambavyo nimeshatoa tuzo hizo...
  3. pinno

    Kazi za Tanzania Airports Authority (TAA) nafaso ya Internal Audit II and Accountant II, alidhapatikana Mtu?

    Wakuu, hawa jamaa walitangaza hizi kazi mwezi wa nne Hivi walishaita watu kwenye usaili, maana nimejaribu kufuatilia sijaona tangazo lolote likiita watu kwa usaili na muda umepita sana au mimi ndo sina taarifa? Asante.
  4. pinno

    Nahudhuria Sahara sparks 2019: Mliman city

    Kama kawaida Nimepanga kuhudhuria Sahara sparks 2019: Africa in the fourth industrial revolution Ni moja kati ya event kubwa ya mambo ya Tech Africa, ambayo tofaut na event nyingine zinazotokea sehemu nyingine za Africa, hii imezaliwa hapa Bongo, na vijana wa kibongo na had sasa imefanikiwa...
  5. pinno

    John Heche: Tarime haiwezi kuwa ya Kijani, itabaki kuwa Nyekundu.....

    Leo kumefanyika mkutano mkubwa sana wa siasa mkoan Mara -Tarime Mh John Heche mbunge wa Tarime amechukua muda wake kupost picha za mkutano huo katika mtandao wa twitter Picha ikionesha mamia ya watu waliohudhuria, na kwa kweli inavutia sana kuonesha ukuaji wa Demokrasia nchini, (Mwenye picha...
  6. pinno

    Swali: Mzee Nyirenda na kupandishwa mwenge na bendera siku ya uhuru kilimanjaro

    Najiuliza swali moja sipati jibu, Moja ina maana Uhuru wa Tanganyika ulipangwa siku 16 kabla? nini kilifanya wachague hiyo tarehe? maana ukisema haukupangwa, ilikuwaje, Mzee nyirenda, apange safari ya kwenda Mt Kilimanjaro, akiwa na mwenge wa uhuru na Bendera, na historia inaonesha alitumia...
  7. pinno

    The SPY: Series inayoonesha Jinsi Jasusi la Mossad "Eli Cohen" Lilivyowachachafa wa Syria miaka ya 60.

    Ni one of the short docuseries on Netflix sasa hivi, imeanza kuruka nadhani last week, Nimekuwaga nikisoma habari za Majasusi wa Mossad, na namna ambavyo Mossad ni moja ya Intelligence Unit inayoheshimika zaidi duniani, along with CIA,M16 KGB na nyingine. Humu Jf na hata kwingineko. Sasa this...
  8. pinno

    Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

    Wandugu, Mimi sio mpenzi sana wa soka, ila huwa nafuatilia timu yangu ya Taifa, Timu yangu ya Mkoa naotoka, na timu mbili tatu ambazo zinanifutia ligi za mbele, ila sio yule shabiki ambae ni shabiki kindaki ndaki, Sasa nafahamu kuhusu yule kipa, kipenzi cha rais wa Jiji la Dar es salaam, ambae...
  9. pinno

    Justice for Mbalamwezi wa "The Mafik"

    Huyu dogo amekwenda, Ni kweli historia yake ya matukio huko nyuma, mfano tukio la wizi, lililoandikwa hapo nyuma, na visa kadhaa kama hizo watu wanasema za skendo za kusepa na wake za watu, zinamfanya aonekane kama ni halali kwa yaliyomkuta. Ila kila binadamu ana haki ya kuishi, na kama ni...
  10. pinno

    Wanaharakati wa Twitter (Mitandaoni), hela wanapata wapi?

    Nimejikuta najiuliza hili swli bila majibu Kuna watu kila nikiingia twitter na katika mitandao mingine, nakuta kuna ajenda wanaikampenia kama sio #bringback nani atakae kuwa ametekwa na wasiojulikana kwa kipindi hicho, basi itakuwa kampeni yoyote ile juu ya jambo litakalokuwa limeibuka kwa...
  11. pinno

    Bakhresa kwa Makonda, Mwakyembe na Tido, na Nilichojifunza Binafsi

    Kuna video nimeiona, nashindwa tu kuiweka hapa, ila watanisaidia wenye nayo, maana ipo sana tu mtandaoni, inamuonesha Mzee SSB, akiingia msibani, kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam Media, kuelekea kiti kwake, anampita Katibu wa CCM ndugu Polepole, anampita Rc wa Dar es salaam...
  12. pinno

    Kenyatta kakacha mazishi ya BOB kamfuata Magufuli Chato... But Why?

    Awali niliona ratiba ya Bobcolly more aliekuwa CEO wa Safaricom, the most profitable company in East Africa, ambapo ratiba ilionesha kuwa Rais wa jamhuri ya Kenya angehudhuria na kutoa neno kidogo hapo But cha kushangaza, nakutana na taarifa kuwa yupo njian kwenda Chato kwa Magu tena kwa...
  13. pinno

    Mjadala wa English ya Namba moja na wajibu wa UDSM Kama chuo alichosoma

    Kama Mtanzania yeyote, na Muafrika yeyote ambae anafuatilia habari mbalimbali , Nimejikuta sijapitwa na hizi habari na mijadala inayoendelea kuwa Namba moja ameshindwa kuzungumza lugha ya Kiingereza huko south Tofauti na watu wengine, wanaoshadadia, mimi nina baki kuwa positive kuwa Mheshimiwa...
  14. pinno

    Wajasiriamali/wafanyabiashara na wafanyakazi sekta binafsi ndo raia wazalendo zaidi nchi hii Wathaminiwe

    Wajasiriamali wadogo na wakubwa, Wafanya Biashara ,ndogo za kati na kubwa Na wafanyakazi wote sekta binafsi, Ambao pesa yetu haitokani na bajeti ya serikali, and yet tunalipa kodi tena kwa kiwango kikubwa Tunatunisha mifuko ya Pension houses ,Tuna toa ajira kwa wengine Hatutegemei...
  15. pinno

    Kuhusu fursa za kibiashara Moron Comoro

    Wakuu Nimepata safari ya kwenda Moron Comoro Kikazi Ila nataka kuitumia safari hii pia kuangalia fursa mbalimbali za biashara Naomba kwa yoyote anaejua mawili matatu anisaidie 1)ukiachia usafir wa ndege ambao ntatumia sasa,usafir wa boti upoje? Unagharimu kias gan? Na muda gan? 2)kuna...
  16. pinno

    Kutoka Maktaba ya bunge la Marekani, Picha ya Sultan Suleiman muuaji wa mtoto wake wa kumzaa mwenyewe

    Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona Dunia bado kuna vitu inathamini kama mchango wake, Katika pita pita zangu nakutana na website ya...
  17. pinno

  18. pinno

  19. pinno

  20. pinno

    Tuzo za Malkia wa Nguvu 2019

    Live kutoka JNICC Tuzo za malkia wa nguvu zinazotolewa na Clouds Media na KCB tujiajiri program Mgeni rasmi ni Mama Getrude Mongela, na naona na watu mashuhuri kadhaa akiwemo RC wa jiji hili, wakuu wa wilaya kadhaa ,wafanyabiashara Kama Eric Shigongo na wengine wengi Tayari tuzo ya malkia...
Back
Top Bottom