pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Nimejikuta najiuliza hili swli bila majibu
Kuna watu kila nikiingia twitter na katika mitandao mingine, nakuta kuna ajenda wanaikampenia
kama sio #bringback nani atakae kuwa ametekwa na wasiojulikana kwa kipindi hicho, basi itakuwa kampeni yoyote ile juu ya jambo litakalokuwa limeibuka kwa wakati huo, mfano kama kuna waziri kazingua kama kabudi, au sanamu ya Nyerer imekosewa, yaani wao deile wapo kupiga kelele ya mambo ambayo hayako sawa katika nchi hii
ni jambo jema, wanafanya, na tunawashukuru, wanakuza awareness
swali nalojiuliza ni kuwa, mbona nikiwaona naona muda mwingi wanatumia mitandaoni, and yet maisha yao wanaonekana kuyamudu vyema, nafahamu habari ya social media influencers ambao wanakula mitandaoni, kwa matangazo na mambo kama hayo, so ukiona social media influencer ambae anajulikana kabisa kuwa analipwa kulingana na kazi hyo, eg. Idriss sultan, unajua aah yes. Sasa Madam kama Maria Sarungi, Fatma karume et all, ambao post zao sio kibiashara, na wala sio matangazo, na wanashinda mitandaoni 24/7 wakifanya uanaharakati, wanapata wapi muda wa kufanya shughuli za kuwaingizia kipato?
Au kwenye uanaharakati kuna deals tena za kibiashara zina pita chini chini? au na kwenyewe kuna sponsored posts?.