Swali: Mzee Nyirenda na kupandishwa mwenge na bendera siku ya uhuru kilimanjaro

pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
1,228
Najiuliza swali moja sipati jibu,

Moja ina maana Uhuru wa Tanganyika ulipangwa siku 16 kabla?

nini kilifanya wachague hiyo tarehe?

maana ukisema haukupangwa, ilikuwaje, Mzee nyirenda, apange safari ya kwenda Mt Kilimanjaro, akiwa na mwenge wa uhuru na Bendera, na historia inaonesha alitumia siku 16 kupanda mlima?

naomba nijuzwe juu ya historia jinsi uhuru ulivyopatkana
 
ingia STD III Pimary wanafundisha kwa undani zaidi
Hiyo naijua!

Na ndo ambayo inafundishwa utadhani, Nyirenda alipanda siku hiyo hiyo juu, akajikuta saa 6 usiku yupo kilimanjaro.

kumbe, kufika kwa Nyirenda kileleni, ndo kulikuwa kunadetermine uhuru uwe lini, angefika tar kesho yake, uhuru ungekuwa kesho yake
 
Nchi ilikuwa inatawaliwa na Malikia Elizabeth wa II chini ya Gavana Richard Turnbull na wao ndio waliopanga kuwa 9/12/1951 mtapewa uhuru wenu hivyo maandallizi ya mwanajeshi Alexander Nyirebda yakaandaliwa mapema
ndio nijuavyo
 
nini kiliwafanya wapange tarehe hii?
 
Back
Top Bottom