Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
2,000
Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010).

Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe kama Pinno nilikuwa nimeshaipa hii Album hii tuzo, kimoyomoyo, kama tu ambavyo nimeshatoa tuzo hizo kimoyo moyo kwa Best artist Rapper Bongo -Ngwair n, Best HipHop Song wa heartbrak Bongo - Hayakuwa wa Sugu na best love song Bongo ever for Relationship Maturity ambao nimeupa Kama Hauwezi wa Rama Dee ft Lady Jay Dee. Na mwisho, ni bet Hip Hop song for hustlers Bongo ambapo hii tuzo kwa heshima na taadhima nimewapa X-Plastzax na Wimbo wao Nini Dhambi.

Hii ni list yangu binafsi, na ndivyo nionanvyo aminin, sio kwamba nyimbo nyimngine au sizikubali, ila at the end lazima top awe mmoja, So jana Billboards kwa kiasi fulani wakathibitisha kuwa ratting zangu kumbe zina mashiko, kwa kuipa My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) album of the Decade.

So, japokuwa ninapigana na watu wa Billboard kwamba braza Slim shady, Eminem pamoja na kuwa katika hii miaka kumi katoa album karibu nne: Recovery, Kamikaze, Relapse na my favourite The Marshall Mathers LP 2. Ila jamaa hawajaingiza hata moja kwenye list ya album bora za hii miaka kumi. Hapo nimeona jamaa wameenda chaka. Ila bado naheshimu mawazo yao na nakubaliana bila kupinga, haijalishi namba 2-99 ni album gani zipo, ila back to My Beautiful Dark Twisted Fantasy ndo inastahili kuwa album bora ya muongo huu, na pengine ikachukua muda sana kitu kama hiki kikapatikana.

Albamu ya Back to My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010)

So back to 2010 au 2011 hivi, Hii Album nilikuwa nimesikiliza tu top tracks, kama Dark Fantasy, na All of The Lights ambazo ndizo zilikuwa zimeachiwa kama singles. sikuwa nimesikiliza album nzima, then siku moja, nikiwa shule, tukawa tumefukuzwa, so nikaenda kwa wanangu fulani nilale huo usiku then kesho nirudi home, jamaa walikuwa busy na mambo yao, basi wakaniachia PC moja nikawa naitumia ule usiku, katika kuchek vishort video clips, randomly na vi-movie vilivyokuwa kwenye PC, ghafla nikajikuta natizama short film ya Kanye West Runaway ambayo ilitengenezwa special kwa ajili ya hii.

Watch it here:

Masikio na macho yakaganda kwenye wimbo Runaway song, biti lilivyotengenezwa, raps softy ya mwanae Kanye Pusha T, na dances za wadada wale. Nikajikuta usiku mzima nasikiliza hicho kipande tu. kulipokucha nikaendelea na safari, na ndipo nilipotafuta album nzima na kutulia nayo.

Runway is the best song in the album, ila bado kila jiwe ni bora sana. ni miaka 9 karibu, but nimekuwa nikisikiliza hii kitu bila kuichoka. Kwa ujumla Kanye ana album nyingi bora, ila hakuna inayoifikia hii. This is artistry at the very high level. Dope shit ever.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,325

weee weee!!!... Kuna ile "Graduation Album" usifanye mchezo nayo aseh!..
Sema kwa vile umesema ni mawazo yako na kwa vile album ya 2010 na bado unasoma sina jinsi kukushawishi!..
Ila usifanye mchezo na GRADUATION ALBUM aseh, kidogo imfanye 50 Cents aache mziki!!!..
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
2,000
Wick, s are dope, sema Graduation si before 2010. hii list ni ya Album ya miaka 2010 to 2019.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,325
2,000
All Kanye Albums are dope, sema Graduation si before 2010. hii list ni ya Album ya miaka 2010 to 2019.
Na me nakukumbusha kutokana na hitimisho lako hili hapa👇👇
Kwa ujumla Kanye ana album nyingi bora, ila hakuna inayoifikia hii. This is artistry at the very high level. Dope shit ever.

Yani umehitimisha hiyo Album ndio funga kazi!.
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
2,000
Na me nakukumbusha kutokana na hitimisho lako hili hapa👇👇

Yani umehitimisha hiyo Album ndio funga kazi!.
Nimesikiliza Ye ya last Year, nimepick 3 songs, kama Wouldnt leave, Ghost town etc, na nimesikiliza hata hi mpya kabisa, Jesus is King. kuna nyimbo nyingi nzuri, ila Use this Gospel,Sellah, Closed on Sunday are my favourite. Ntazitafuta albu,m karibu zote za huyu mwamba, zile za zamani nyingi nimesikiliza tracks tu moja moja.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,325
2,000
Nimesikiliza Ye ya last Year, nimepick 3 songs, kama Wouldnt leave, Ghost town etc, na nimesikiliza hata hi mpya kabisa, Jesus is King. kuna nyimbo nyingi nzuri, ila Use this Gospel,Sellah, Closed on Sunday are my favourite. Ntazitafuta albu,m karibu zote za huyu mwamba, zile za zamani nyingi nimesikiliza tracks tu moja moja.
Basi kumbe ndio maana ukaweka hilo hitimisho, sasa basi hebu tafuta hizi album kwanza!.
1. The College Dropout (Jesus Walks)
2. Late Registration (Diamonds from Sierra Leone na Gold Digger)
3. Graduation (Can't Tell Me Nothing, Stronger, Good Life, Flashing Lights na Homecoming)
4. 808s & Heartbreak (Love Lockdown, Heartless na Amazing)
Hapa ndio kanye west alikuwa Prime!!..
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
2,000
Kama hakuna albamu hata moja ya Eminem (Rap God) kwenye hiyo list iliyotengenezwa na hao Bill-motherfucking-board, basi hiyo list ni takataka kama takataka nyingine!
Hapa jamaa hata mimi nimeona wamezingua, hivi wanaijua MMLP2 Kweli hawa?
 
Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
620
1,000
Hapa jamaa hata mimi nimeona wamezingua, hivi wanaijua MMLP2 Kweli hawa?
Sio MMLP2 tu , karibu album zote za Slim Shady zilizotoka hiv karibun zinastahili kuwepo tena sio kwenye top 100 tu Bali hata top 20
 
Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
1,900
2,000
Grad
Basi kumbe ndio maana ukaweka hilo hitimisho, sasa basi hebu tafuta hizi album kwanza!.
1. The College Dropout (Jesus Walks)
2. Late Registration (Diamonds from Sierra Leone na Gold Digger)
3. Graduation (Can't Tell Me Nothing, Stronger, Good Life, Flashing Lights na Homecoming)
4. 808s & Heartbreak (Love Lockdown, Heartless na Amazing)
Hapa ndio kanye west alikuwa Prime!!..
graduation na 808s&Heart break ndo album zangu Kali kutoka kwa Ye!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom