Search results

  1. jashmoe32

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi. Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali. Ahsante
  2. jashmoe32

    Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

    Habari wana Jf, Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga??? If yes then gharama ya usafiri ikoje? Tusaidiane ili tuwahi makazini
  3. jashmoe32

    Biashara ya kukodisha Turubai

    Habarini, Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)? Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps? Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
  4. jashmoe32

    Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  5. jashmoe32

    Msaada wa whatsapp katika Nokia 3310

    Naomba msaada wa mtu mwenye uwezo ww kuweka whatsapp katika nokia 3310
  6. jashmoe32

    Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  7. jashmoe32

    Ni lipi basi zuri la Dar - Iringa

    Habari, Naweza kufahamishwa usafiri mzuri wa Dar kwenda Iringa na gharama zake
  8. jashmoe32

    Nahitaji portable airbed

    Waungwana, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu sehemu gani naweza kupata airbed. Nitashukuru nikisaidiwa na bei yake
  9. jashmoe32

    Msaada kuhusiana na Tiles

    Habarini WanaJf, Naomba ushauri wa kufahamishwa kuhusu tiles nzuri za kuweka kwenye nyumba ambazo hazipauki na zenye gharama reasonable. Nimeona kuna tiles za kampuni ya Goodone, Goodwill na Twyford na nlitaka kufahamishwa kua ni kampuni ipi yenye tiles zisizopauka na nzuri
  10. jashmoe32

    Nahitaji fundi sofa

    Habari, Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Kitambaa cha sofa kimechanika na nahitaji kubadilisha. Napatikana Boko
  11. jashmoe32

    Nahitaji fundi sofa

    Habari, Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Ni kitambaa cha sofa ndio kimechanika na nahitaji kubadilisha. Napatikana Boko Ahsante
  12. jashmoe32

    Msaada wa Hospitali zinazotoa kadi ya Homa ya manjano

    Habarini, Nahitaji msaada wa kufahamishwa Hospitali wanazotoa kadi ya Homa ya manjano kwa Dar. Ahsante
  13. jashmoe32

    Nahitaji sample barua ya notisi kwa wapangaji

    Habarini, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ahsante
  14. jashmoe32

    Nahitaji tanki la kuhifadhi maji lita 2000

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji tanki used lililo kwenye hali nzuri na liwepo Dar. Nipm namba yako kama unalo Ahsante
  15. jashmoe32

    Nahitaji fundi wa motor

    Habari, Nahitaji funding wa motor ndogo za around 3 mpaka 4 hp kwa gharama nzuri. Ahsante
  16. jashmoe32

    Nahitaji asali

    Nahitaji lita 1 ya asali siku ya leo kwa bei rafiki.Napatikana Tegeta na weka namba ili nikupigie
  17. jashmoe32

    Nahitaji mizani used 0 mpaka 10 kg

    Nahitaji mizani yenye uwezo wa kupima 0 mpaka 10 kg na iwe na mhuri na stika kutoka kwa wakala wa vipimo. Budget yangu ni 40,000(maongezi yanakaribishwa)
  18. jashmoe32

    Nahitaji Bath Tub la kuweza kufit katika dimension ya 168 cm to 67 cm

    Habari, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji Tub yenye uwezo wa kufit katika hizo dimension na nitashukuru ukiniwekea na bei. Napatikana Tegeta. Thanks
  19. jashmoe32

    Msaada wa kupata Building Permit

    Habari Wajumbe, Nlikua nahitaji msaada kuhusiana na kupata building permit mana nlikua najenga vibanda vyangu vya uhani nikaambiwa na Serikali ya Mtaa kua yabidi niwe na kibali. Nahitaji msaada wakuu
  20. jashmoe32

    Nahitaji mashine ya Bambam ya Tofali

    Habari, Nahitaji mashine used ya kufyatulia tofali ya Bambam ya Inchi 5 na vibao vyake. Budget ni laki 1 (Negotiable). Nipm kama unayo
Back
Top Bottom