Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

Usafiri wa Bunju mpaka Posta/Upanga

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari wana Jf,

Je kuna mtu anatoa huduma ya usafiri kutoka Bunju au Boko kila J3 mpaka Ijumaa kuelekea Posta au Upanga???

If yes then gharama ya usafiri ikoje?

Tusaidiane ili tuwahi makazini
 
Back
Top Bottom