Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Ahsante
Yaani Mashati yetu yenye Vifungo unayauza kwa Tsh 40,000/ halafu Wewe unachukua Tsh 38,500/ na Sisi Mazuzu wa Mafurikoni na Vyura wetu unatupa Tsh 1,500/ tu.
Nadhani bado hujatujua Sisi Mazuzu.
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari.
Size ni 3x6
Mbao ni Pine na Cyprus
Bei 100,000 na godoro lake.
Location: Dar es Salaam
Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10.
Naomba wenye uzoefu wa haya magodoro please.
MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
Hakuna sababu ya kuhangaika kufika mpaka magodoro yanapouzwa
tupigie tu tunakuletea godoro lako chap chap sana na utalipa baada ya kupokea godoro lako.
Tupo kariakoo dar es salaam
0712082915
Whatsapp
0684943062
KARIBU SANA
Ni muuza magodoro hapa.
Nimefurahi kukutana nanyi jukwaani..
Nashukuru sana.
Karibu ujipatie godoro lako.
Tupo kariakoo dar es salaam
0712082915
Whatsapp
0684943062
KARIBUNI SANA
Habari rafiki, karibu ujipatie godoro nzuri ya uhakika kiukweli hauta jutia kabisa.Nakushauri kitu kimoja kwenye sekta ya magodoro kuna aina nyingi sana za godoro na kwa watu wengi tunakalili majina tu.
Utajuwaje godoro ni la uhakika
Uliza density na iyo density iyanzie 25 hapo itakuwa angalau...
Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,”
Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
Kiwanda cha magodoro cha GSM chawaka moto pale Mwenge/Mikocheni Viwandani Walaya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Moto umeanza asubuhi hii muda wa saa 12:30 ya leo Jumapili Machi 13, 2022.
Chanzo cha Moto bado hakijafahamika.
Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.
---
Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa.
Soma >...
Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa wanaenda na magodoro yao.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald
Mbunge huyo ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.