Nahitaji mashine ya Bambam ya Tofali

Nahitaji mashine ya Bambam ya Tofali

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari,

Nahitaji mashine used ya kufyatulia tofali ya Bambam ya Inchi 5 na vibao vyake.

Budget ni laki 1 (Negotiable).

Nipm kama unayo
 
Mkuu ukisoma maelezo vizuri utaona kuna neno limeandikwa Negotiable na jaribu kutafuta maana ya hili neno na utaelewa.

Kama unayo then nipm with your namba
 
Mkuu ukisoma maelezo vizuri utaona kuna neno limeandikwa Negotiable na jaribu kutafuta maana ya hili neno na utaelewa.

Kama unayo then nipm with your namba

Wewe si ni mtanzania!! Sasa unashindwa nini kuongea au kuelezea kwa lugha yetu pendwa!!!! Hii lugha inawenyewe bwana sio akina sisi tunaoshindia dona/sembe..
 
Mkuu ukisoma maelezo vizuri utaona kuna neno limeandikwa Negotiable na jaribu kutafuta maana ya hili neno na utaelewa.

Kama unayo then nipm with your namba
NINAYO NINAUZA 1.5 M
 
Mkuu mashine ya Bambam wauza 1.5M??Ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom