jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,099
- 438
Habarini WanaJf,
Naomba ushauri wa kufahamishwa kuhusu tiles nzuri za kuweka kwenye nyumba ambazo hazipauki na zenye gharama reasonable.
Nimeona kuna tiles za kampuni ya Goodone, Goodwill na Twyford na nlitaka kufahamishwa kua ni kampuni ipi yenye tiles zisizopauka na nzuri