PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC
PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz
RAM : 8GB
MEMORY : 1 TB
Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni...
I know ihis might be old news to some but inorder to save my hard earned buck I considered the possibility of receiving the free channels accessible through the DSTV decoder... What was annoying...
Wakuu habarini ..
nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active...
Wadau,
Habarini za juma pili , msaada kile kidude cha kuingizia umeme mita hizi mpya toka juzi hakina network na umeme umeisha kwa yoyote mwenye kujua msaada jama
wakuu za jion.
jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka.
inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE
so ni ipi...
Nokia hawatabiriki kabisa. Wameamua kutengeneza tena feature phone iitwayo Nokia 3310 ambayo ilijulikana kama "jeneza".Ni simu iliyouzwa sana wakati huo kuliko simu nyingine zote-simu milioni 126...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu simu hizo zimekuwa na matatizo ya kutokusoma line na bluetooth kutokufanya kazi pia. wateja wengi wameripoti matatizo hayo kwa wahusika na nia za...
Simu yangu ina support 2G only .sada kama kuna namna nawezq iflash network ikakamata 3G mnisaidie ujuzi huo nami nifurahie internet maana ss hata kuwatch youtube siwezi kabisa ,naombenj mnisaidie...
habari wakuu! Nimekuwa nkitumia tecno j 7 kwa muda mrefu na sikuwawi kupata aina yyte ya tatizo sasa mpaka nikaiuza.... Sasa saiv natumia tena tecno j7 ila tangu nitumie imekuwa ikijizma na...
Wadau naomba kufahamu kama kuna app ambayo inaweza kubust network kwa maana simu yako inakawaida ya kuwa low katika network,, pls naomba msaada wenu!!!
Katika mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu na inawatumiaji wenye mazungumzo mengi sana ni Twitter, lakini tatizo lake moja kubwa ni kwamba mtandao huu wa kijamii bado hautengenezi pesa za...
Samsung Z510, Z650, Z320i
Power on without SIM card
Type in **CODE# where CODE is the unlock code you received from XXXXXXXX
Samsung Z105 and Z107
Power on with a non accepted SIM card
Type...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.