Salamu zenu wataalamu
Ninaomba nisaidiwe hili nilikua natumia microsoft lumia na nikawa nahifadhi document kwenye one drive na kwakutumia email ya outlook kipind nikizihitaji hata kama nikireset...
Msaada,
Huawei y560-u02, kwa bahati mbaya nimefuta phone/messaging storage kwa kingo user, sasa simu inaniandikia "Unfortunately, the process com.android.phone has stopped" nikibonyeza ok network...
Natumia nokia 625 juzi nilireset nilipojaribu kudownload apps inaandika error occur nimekuja kugundua inataka ni update to window 8.1 lakn inanitaka niunganishe na wifi
je nifanyaje ili niweze ku...
Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
Habarini wakuu
Naomba wenye ufahamu wa hizi simu za I phone 6 na 6plus. Matatizo yake common ni nini na ubora wake ni upi na tofauti ya hizo model nini? Naomba kujua kabla sijahesabu mpunga wakuu
Wataalam mniambie Hali ya simu kujizima zima pindi unapopiga ,natumia VIWA A4 yani imeanza tatizo la kujizima kila nikitaka kupiga mpaka natamani kuipasua hii simu,Kuna wakati inatulia na kuna...
Wakuu nyinyi mnaikubali mashine ipi kati ya ps3 au pc kwa gaming
kwa mimi binafsi naikubali pc kwa high end ps3 medium end
ukiangali games nyingi zikitoka kwa pc kwa ps3 hazikosi
sasa kiujumla...
Habari wana jamvi, naomba kufahamu namna ya ku track a stolen phone kama ina registration kwenye google kupitia gmail account na IMEI namba yake
Natanguliza shukurani kwa watakao changia positively
Helo wadau nimepita kkoo nimekutana na hizi decoder za kodtech...nimeambiwa zinatumia antenna na channel zake zinapatikana free bila kulipia. naomba wataalamu humu au waliowahi kuzitumia wanipe...
habari,ninashida kidogo hapa na huawei y520-u22, tatizo ni kwamba nikiiwasha inaishia pale kwenye logo ya huawei na haifany chochote, nikijaribu kuhard reset kwa button combination inafika mpaka...
Simu yangu ni tecno M5, kabla haikua na tatizo hili la kugoma kuinstail au kuapdate app.
Huwa inaniletea maneno hayo nikienda kwenye setting bado kuna nafasi GB za kutosha sijui tatizo ni nini...
JINSI YA KU UPDATE ANDROID KITKAT
KWENDA LOLLIPOP
No Computer needed…..
Utangulizi:
Bado Teknologia inakua kila sekunde.. Yapo
Maboresho kila Nyanja hasa katika Mawasiliano kwa ujumla. Kompyuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.