Msaada Kungiza Unit za Umeme

Msaada Kungiza Unit za Umeme

chuse tbr

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
495
Reaction score
583
Wadau,

Habarini za juma pili , msaada kile kidude cha kuingizia umeme mita hizi mpya toka juzi hakina network na umeme umeisha kwa yoyote mwenye kujua msaada jama
 
Pole mkuu,itakua zile betri zake zimeisha!unaeza ku replace betri au kawekee kwa jirani,hii technology inaeza kukulaza giza bila sababu
 
Ukibonyeza button ya ENTER au DELETE kinawaka?

Kama hakiwaki basi battery zake zimeisha. Weka battery zingine.

Kama kinawaka halafu hakina network basi unatakiwa ufanye haya yafuatayo:

1. Chomeka kwenye soket na uwashe hiyo soket (hii ndio njia yake ya kuwasiliana na mita yake)

2. Chomeka kwenye soketi ya ukutani tu na sio vinginevyo.

3. Usichomeke kwenye starbilizer au UPS au SURGE PROTECTOR , haitapata network.

4. Kama battery imeisha na huwezi kuzipata kwa sasa, nenda nyumba ya jirani karibu na wewe uombe kuchomeka kwenye soketi na iwe ni soketi ya ukutani moja kwa moja.
 
asante ila tulikiweka kwa jirani leo sikuya tatu bado hakipandishi mnara
 
Pole mkuu,itakua zile betri zake zimeisha!unaeza ku replace betri au kawekee kwa jirani,hii technology inaeza kukulaza giza bila sababu
kishatulaza leo hatari sana kipo kwa jirani ila ndo hivyo tena mnara haupandi
 
Ukibonyeza button ya ENTER au DELETE kinawaka?

Kama hakiwaki basi battery zake zimeisha. Weka battery zingine.

Kama kinawaka halafu hakina network basi unatakiwa ufanye haya yafuatayo:

1. Chomeka kwenye soket na uwashe hiyo soket (hii ndio njia yake ya kuwasiliana na mita yake)

2. Chomeka kwenye soketi ya ukutani tu na sio vinginevyo.

3. Usichomeke kwenye starbilizer au UPS au SURGE PROTECTOR , haitapata network.

4. Kama battery imeisha na huwezi kuzipata kwa sasa, nenda nyumba ya jirani karibu na wewe uombe kuchomeka kwenye soketi na iwe ni soketi ya ukutani moja kwa moja.
Niongezee kidogo hapo kwenye nyumba ya jirani. Nyumba hiyo iwe ndani ya Mita 100 kutoka kwenye nguzo yenye mita yako
 
Kwa jirani siyo solution. Badili hiyo charger yake, sijui mnaitaje kwa kitaalam hizo huwa ni mbovu sana. Jaribu ya radio au king'amzi, mhimu zaidi chomeka kwenye switch ya kwenye ukuta na siyo kwenye makorokolo mengine. Ingiza mita no ya hicho kidubwasha kama mara mbili hivi then angalia salio la unit zako kwa kubonyeza 003 mara kadhaa itakuonesha salio then weka umeme wako. Talking from experience
 
thanks ngoja nijaribu njia yako
 
Nenda kwa jirani yako aliye umbali usiozidi mita 100, mwenye mita kama yako, mwenye umeme nyumbani kwake. Chomeka Remote yako kisha :

1. Ingiza 00namba ya mita yako00 then bonyeza okey.
2.Ingiza umeme wako.
3.Uliza salio
 
Ukibonyeza button ya ENTER au DELETE kinawaka?

Kama hakiwaki basi battery zake zimeisha. Weka battery zingine.

Kama kinawaka halafu hakina network basi unatakiwa ufanye haya yafuatayo:

1. Chomeka kwenye soket na uwashe hiyo soket (hii ndio njia yake ya kuwasiliana na mita yake)

2. Chomeka kwenye soketi ya ukutani tu na sio vinginevyo.

3. Usichomeke kwenye starbilizer au UPS au SURGE PROTECTOR , haitapata network.

4. Kama battery imeisha na huwezi kuzipata kwa sasa, nenda nyumba ya jirani karibu na wewe uombe kuchomeka kwenye soketi na iwe ni soketi ya ukutani moja kwa moja.
Addition aangalie pia hio nyumba anayoenda kama wana share phase moja
 
Ifuatayo ni njia rahisi na salama.
1. Weka battery zote mpya, isiwepo ya zamani hata moja.
2. Zima switch zote za nyumba yako.
3. Hakikisha main switch iko ON+socket breaker.
4. Chuku mita chomeka kwenye soketi moja wapo ya ukutani na uiwashe (ingawa hauna luku, lakini hakikisha umeme upo kwenye line uliyopo {nguzo})
5. Washa mita (kwakutumia battery)
6. Bonyeza 003, italeta salio (0.00)
7. Ingiza namba za luku bonyeza enter. (Hatua hii ili ifanikiwe lazima hatua namba sita imefanya kazi.

Usipige simu customer care hawana msaada. Hakikisha betri zote ni mpya. 100% inafanya kazi
 
Usiache kuleta mrejesho maana kuna wengi wanteseka kuhusu hili, wengine usiku wa manane umeme unakata hujui ufnye nini kwa jirani huwezi enda.
 
Back
Top Bottom