Msaada wa haraka tafadhali

Mukundumbusya

Senior Member
Aug 11, 2016
168
142
1486921279111.jpeg

Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali
 
Kama uko maeneo ambayo ziko ofisi za tigo,voda au airtel,nenda hapo watakusaidia ilimradi ukumbuke gmail yako na simu yako iwe na bundle
 
Sasa Na wewe cha utundu ilikuaje mpaka ukafanya hard reset tena?!
 
Watanzania hizi smartphone mnanunua hata kingereza kidogo kama hiko hujui hapo chini kunaoption ya kuskip, skip maana yake endelea na kitu kingine..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom