samsung unlock code | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

samsung unlock code

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by drphone, Dec 28, 2010.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Samsung Z510, Z650, Z320i
  1. Power on without SIM card
  2. Type in **CODE# where CODE is the unlock code you received from XXXXXXXX
  Samsung Z105 and Z107
  1. Power on with a non accepted SIM card
  2. Type in #7465625*638*CODE# (or *#7465625*638*CODE#) where CODE is the unlock code you received from XXXXXXXX
  3. Press the SEND key, display should read, "Personalization Cancelled"
  Samsung 3G series, D, Z-series, some A-, C-, E-, T-, X-series, other models
  1. Power on without SIM card
  2. Type in #7465625*638*CODE# (or *#7465625*638*CODE#) where CODE is the unlock code you received from XXXXXXXX
  3. Press the SEND key, display should read, "Personalization Cancelled"
  Samsung i450 & i560 and I8910


  1. Switch ON your phone without SIM Card,
  2. Compose #PW+CODE+1#
  The letter P appear after press 3 times quickly the button star ( * )
  The letter W appear after press 4 times quickly the button star ( * )
  The letter + appear after press 2 times quickly the button star ( * )

  Samsung i780


  1. Insert an unaccepted SIM card
  2. Enter the pin code to simcard (if enable pin code)
  3. At the top of screen an "exclamation mark" icon will appear
  4. Click on "exclamation mark" icon
  5. There will appear link "settings" - click on it
  6. Virtual keyboard appears on screen with Enter PIN prompt.
  7. Enter your 8-digit unlock code.
  SAMSUNG P777, D357 , D807, D407


  1. Power on without sim,
  2. type in #0111*unlock code#


  ZX10, ZX20, A707, A437, X497, C417


  1. Power on without sim,
  2. type in #7465625*638*Unlock code#

  How to ENTER CODES in S5320 ?  1. Insert WRONG simcard inside the phone .
  2. Press CALL Button so digit will be displayed .
  3. Enter your FREEZE Codes and Press CALL/# button in keypad .
  4. If phone ask for NCK/SP codes just type the codes like this. #0111*NCK# #0141*SIMLOCK#
  Other Samsung models
  1. Power on without SIM card
  2. Phone will ask for "Password"
  3. Enter the unlock code you received from XXXXXXXX
   Note: In some instances the phone won't ask for "Password" - enter the unlock code anyway
  OR if phone shows "Insert Correct SIM card"
  1. Power on with a non accepted SIM card
  2. Type in #0111*CODE# where CODE is the unlock code you received from XXXXXXXX
  3. Press the SEND key, display should read, "Personalization Cancelled"
  i607 Blackjack

  Power on with incorrect (non accepted) SIM card, when asked to enter network pin enter provided unlock code.
  No need to hold other keys while entering code

  If you are unable to connect to the service provider or unable to make out-going calls or receive messages, this has nothing to do with your phone being locked. You need to force the Blackjack to change to GSM mode:
  1. Power on the phone
  2. Enter *#1546792*#
  3. Select Option 3 Network & Call Settings
  4. Select Option 5 Network Mode
  5. Select GSm
  wakuu tuendelee kuelimishana
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mkuu nipe muda nitafute 4ne moja niitesti
   
 3. M

  MPUNGA JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 802
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  mimi juzi hapa nimeibiwa simu yangu ya samsung ila niliweka password . Yaani juwezi kutumia bila kuingiza password sasa wajanja wataweza ku-unlock na kuitumia. Imei namba yake ninayo ila Voda wanasema hawawezi kuifunga wao siyo kazi yao kuhusiana na Handset. Nisaidieni wataalamu nifanyeje aidha niweze ku-trace au kuifungilia mbali kabisa. Natanguliza shukrani.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu pole sana ushauri wangu nunua ingine sahau ile kwani akitumia code nilizotoa hapo wala aitaji kupeleka kwa fundi simu kuflash mkuu usimaindi sana kupoteza cm ndokugawana umaskini
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani ucwe na hofu mkuu ila upo kmya sana ujanipm wala kunipigia kulikoni mkuu
   
 6. M

  MPUNGA JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 802
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Duuuh! ndiyo imekwenda hiyo!!!

  Sasa haya mambo ye IMEI na stories zingine kwa nini tunahangaika nayo.
   
 7. M

  MPUNGA JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 802
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Any way kwa sababu ninayo Warranty nita-report kwa wenyewe najua wana mtambo wa ku-fungia simu zao dunia nzima au sivyo Dr.?
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkubwa mimi naomba ukachukue RB polisi afu pita kwa mafundi simu tangaza dau nono na uwaachie contact zako unaweza ukaipata kwkuwa huwenda hawapo katika hii forum. Au sio kaka.
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kaka ucjar mambo tu ndo hasa ukizingatia upandaji wa maisha watu tumekuwa bize kuhangaikia mkate.
   
 10. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkubwa mimi naomba ukachukue RB polisi afu pita kwa mafundi simu tangaza dau nono na uwaachie contact zako unaweza ukaipata kwkuwa huwenda hawapo katika hii forum. Au sio kaka.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ucpoteze mda wako watakwambia wameifunga tayari utaondoka na furaha ukijiona kidume lakini wapi watuwanaichakachua wanatumia kama kawaida mkuu fata ushauri wangu nunua cm ingine ila ukipenda katoe taarifa police uwezikujua sikumoja unaweza kumwona mwizi wako mkuu
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  potezea mkuu
   
 13. P

  Puza Senior Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dr mi nimevutiwa sana na thread yako.naomba unifafanulie hio code nayoipata from xxxxx ina maana gani naomba unipe mfano tafadhali kwa mfano mi natumia samsung d 780
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hizo ni code unakuwa umezisoma kutoka kwenye flashbox or server so unaitaji uzingize ili cm ifunguke itumie line zote kwaiyo yako ni dual cm unaweza2mia code nilizotoa kuformat bila shida betri iwe full charge
   
 15. P

  Puza Senior Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ooh dk naendelea kupata idea inamaana ili niweze kuifanya hii shughuli nahitajika niwe na server or flash box ambacho naamini ni kifaa maalum? kwahio kwa kuwa na simu pekee siwezi kuunlock simu? tafadhali endelea kunijuza.
   
 16. D

  Derimto JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135


  Thnx. Mkubwa ila nimegundua hili jamvi pamoja na kwamba kuna malitle thinker kibao kuna vichwa vya maukweli kama wewe tukiwa na watu kama wewe hatuhitaji kwenda kujazana kwenye ofisi za makampuni ya cm.tukiwa tumepoteza password zetu.
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hasante mkuu hope umenufaika na umekumbuka kugonga thanks wengi wananufaika kmya kmya
   
 18. j

  jeeva Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you can get the Unlock code for SAMSUNG Mobile Phones at here Classicunlocking.com and Unlock it..
   
 19. nasry9819

  nasry9819 Member

  #19
  Feb 11, 2017
  Joined: May 16, 2016
  Messages: 35
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  wakuu nawezaje ku unlock halotel 8401 na ukiweka lain tofauti haiutaj code na lain aisomi. msaada tafadhali
   
 20. Ollachuga Oc

  Ollachuga Oc JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2017
  Joined: Jul 4, 2016
  Messages: 2,606
  Likes Received: 4,092
  Trophy Points: 280
  Dr naomba unisaidie mimi niko nje ya mada kidogo. Nina simu yangu ambayo ni Vodafone 785 ilikufa system nikaweka ingine ila kilichotokea ni kwamba siwez kuitumia kabisa nikiweka laini so kama unajua tatizo lake naomba msaada wako. Huwa inakuwa hivi [​IMG] na niki dismiss apo inakuwa network locked ..so naomba msaada wako mkuu.
   
Loading...