Pit brown
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 132
- 64
habari wakuu! Nimekuwa nkitumia tecno j 7 kwa muda mrefu na sikuwawi kupata aina yyte ya tatizo sasa mpaka nikaiuza.... Sasa saiv natumia tena tecno j7 ila tangu nitumie imekuwa ikijizma na kujiwasha na imekuwa aikai na chaji tangu tatizo hilo la kujiwasha na kuzima
Sasa naomba msaada ni tatizo la betry au softy ware
Sasa naomba msaada ni tatizo la betry au softy ware