Barnaba Ernest
New Member
- Apr 25, 2016
- 3
- 1
Wadau naomba kufahamu kama kuna app ambayo inaweza kubust network kwa maana simu yako inakawaida ya kuwa low katika network,, pls naomba msaada wenu!!!
Uko wapi???? Na unatumia mtandao ganiWadau naomba kufahamu kama kuna app ambayo inaweza kubust network kwa maana simu yako inakawaida ya kuwa low katika network,, pls naomba msaada wenu!!!
natumia halotel na nipo singida bt nje kidogo ya mji ila hata wakati mwingine nikiwa twn bado unazinguaUko wapi???? Na unatumia mtandao gani
poa poa!!!Hilo ni tatizo la hardware katk simu cheki na fundi.