emanuel hebron
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 398
- 178
Wakuu nisaidieni kurekebisha hii rangi irudi kawaida S5
Ipo kwny dark mode picha azionekani vizuri ssa nimeshindwa kwny normal colourSijajua unaamanisha nini....( iludi) ndio neno gani humu
Sio umeweka kwenye ADVANCED BATTERY SAVER? Angaia kama battery save ipo ON uizimewakuu nisaidieni kurekebisha hii rangi iludi kawaida S5