emmylove45
Member
- Dec 2, 2016
- 38
- 6
Nina simu yangu huawei niliangusha Jana usiku, nimeamka asubuhi nzma, sasa hivi ghafla imejiweka mistari tatizo ni nin?na je itapona?
Weka picha
Teyar nimewekaWeka picha
hio mistari mbona siioni au ndo huyo mrembo
Yan kama utaweza nsaidie yan hapa naandika meseji ila sion vizuri kwa sababu ya mistarhio mistari mbona siioni au ndo huyo mrembo
huawei aina gani km ni michirizi kioo ni kibovu hapo ni kubadilsha touch na kiooNina simu yangu huawei niliangusha Jana usiku nmeamka hasubui mzma sasa saiv ghafla imejiweka mistar tatzo ni nin?na je itapona?
530huawei aina gani km ni michirizi kioo ni kibovu hapo ni kubadilsha touch na kioo
Inaeza kucost sh.ngapBadilisha screen
Inaweza kucost sh.ngapBadilisha screen
Mtafute fundi au duka la vifaa vya simu karibu yako upate gharama zakeInaweza kucost sh.ngap
Asante kuitach anaweza ndio sema tu INA ukungu ukunguKama anaeeza kutouch bas touch itakuwa haijahathirika nahis niyo ni display ndo imekufa gharama nahis sina uhakika uandae si chin ya 30 elfu na si zaid ya 45 elf kwa aina ya simu yako asante
Yan inshort INA ukungu ukungu kwa ....na mistar IPO kwa mbaliiiMkuu nimejaribu kutafuta hiyo mistari, siioni
Umenifurahisha sana.Yan kuna mistari midogomidogo rangi nyeupe