Msaada kuhusu hii 'Sim me lock code'

reguly solver

Senior Member
Dec 29, 2016
121
64
wakuu za jion.
jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka.

inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE
so ni ipi hyo..

sim ni HUAWEI ASCEND Y330.
ntashukuru kwa msaada
939922c521bc4fb87c16f5a20791a01e.jpg
 
shukran mkuu..ni line moja tu ya m
airtel zingne zote saf,..shukran mkuu ngoja tulifanyie kaz
 
Chief msaada S5 yangu ipo kwnye dark mode nimeshindwa kuirudisha kawaida
c473dbad031d975015c1fc8b91addf6c.jpg
km inavyoonekana hapo
screenshot yako ipo kawaida mkuu

nahisi utakuwa ume invert color, inaonekana kama negative ya mkanda wa zamani wa camera? kama hivi?

disable%2Bnegative%2Bcolours%2Bvia%2Bsettings%2Bmenu%2Bin%2BGalaxy%2BS5.jpg


kama ndio nenda setting halafu accessibility halafu vision utaona negative color
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom