Dvd rom haionekani kwenye laptop

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
777
Naombeni msaada wadau dvd rom haionekani kwenye laptop yangu aina ya dell
 
Nimejaribu kufunga drivers zote lkn imekataa
 
Chomoa hiyo DVD drive kisha chomeka tena, fanya hivyo ukiwa umezima laptop yako kisha istart upya!
 
Chomoa hiyo DVD drive kisha chomeka tena, fanya hivyo ukiwa umezima laptop yako kisha istart upya!
Yap hii ni solution kabisa...
Atakuwa ame eject DVD rom.. kama flash inavyo ejectiwa... hapo ni kuichomoa na kurudishia inakuwa poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom