Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

msaada ku unlock au kuformat kabisa hdd ya sata password nimeisahau
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Wakuu habarini .. nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Ndiyo
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Waungwana naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata google adsens, nimejaribu wapi nimefwata masharti yao lakini mwisho wa siku nimeshindwa kujiunga plz mwenye ako na roho ya huruma anisaidie na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Habari... Nisaidieni kwa hili wana jf..Simu yangu ni Samsung galaxy S4 ambayo ni version 5.0.1 Nataka niichange iwe above ya hapo
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wadau? Aise simu yangu imepata shida ambayo sijui ni kitu gani. Mara kadhaa nikigusa icon ya Facebook, simu inajizima na kuwaka tena yenyewe kisha inaendelea na kazi kama kawaida. Hapa...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Habari wataalamu. Naomba kufahamishwa ni apps gani ambayo itafaa kutengenezea matangazo kwa kitumia simu. Matangazo ya nafasi za shule matangazo yq biashara n.k.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Naomba mwenye kuelewa namna ya kuunlock cm ya voda shop niweze kutumia lain zote plz Shukrani natanguliza kwenu ndugu zangu
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Wiki iliyopita nimenunua simu aina ya Tecno boom J8 baada ya kusikia sifa zake nyingi kwa watu wanao zitumia lakini cha ajabu baada ya kuinunua wala sijaifurahia kabisa Kwanza touch sensitivity...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
heshima zenu wakuu. Nimenunua home wifi devce ya airtel juzi ila nashindwa kuifanya ianze kurusha wireless network lwa simu na pc hapa home. kwa anayejua please? airtel nimewapigia ila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau Habari zenu jamani..... Nina ombi kwa wale wataalam wa YOUTUBE mnisaidie nifanyeje ili niongeze CPC za adsense yangu na pia kuna trick gani ya kuongeza Subscribers katika channel? ASANTENI
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Virus Science Adware Adware is software that presents banner ads or in pop-up windows through a bar that appears on a computer screen. Those advertising spots usually can't be removed and are...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wanajakwaa, kwa wale wajuzi naombeni msaadaa nikitaka kudownload program #macromedia fire work #na ashampoo au Nero kwenye PC naweza tumia website gani kupata za free maana mwanzoni...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Dell Optiplex 790 Intel core i3 3.1GHz Ram 4GB HDD 250+ GB DVD writer Processor Main Features 64 bit Dual Core Processor Cache Per Processor 3MB L3 Cache Memory 4GB DDR3 1333 Hard Drive 250+GB...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Naomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nokia wametangaza kuzindua simu mpya nokia 8 yenye kutumia android simu iko poa sana ayse hawa wataifunika samsung
0 Reactions
40 Replies
4K Views
JHabari za asubuhi! Naomba msaada kwa wataalam wa laptop ukiiwasha inaandika "internal hdd hard error, strike f1 key to continue, f2 to run the setup utility"! 1. Baada ya kubonyeza kifungo F1...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndg wanajamii forum kwa yeyote yule anaejua Ku upgrade version ya tecno Y 4 ambayo iko rooted naomba anisaidia na mm njia zip nifwate
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Back
Top Bottom