Wakuu mi sio mtaalamu sana wa mambo ya computer,sasa nimenunua pc ya apple(macbook),na haijaja na window system,system iliyokuja nayo inanichanganya nataka niinstall window ten,naombeni msaada wa...
Habari za muda huu waungwana
Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua
Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof
Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo...
Naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiunga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabu ajabu. Betri nayo inachemka na kuisha chaji haraka sana.
ASANTENI
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau
Nahitaji mwalimu mzuri wa computer language
Ambaye atanielekeza language zote deeply
Malipo tunazungumza baina ya mm na yeye
Nb:awe anaeleweka anaezielewa language sio kunikaririsha
Kama Uko...
Simu yangu ilikuwa inaniletea sms ya kuupdate system nilikuwa naipotezea lakin jana nikahamua kuifanyia update baada ya kumaliza kufanya update tatizo la kupoteza network likaanza naweza nikawa...
Kwa technition wa Jamii Forum Nimekua natumia iphone app kwa muda sasa, lakini leo 30 may
App ilikua inagomagoma kuappdate nikaona niidelete ni download upya!! hua nafanya hivo kama ikiwa...
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta mwalimu wa kunifunza java programming niko interest kuisoma naipenda nataka kudevelop au Android apps... nafahamu HTML na basic knowledge ya C nipo DAR
Salaam sana,
Nimeinstall office software 2010 kwenye computer yangu, sasa inahitaji activation keys. Naomba msaada wa yeyote mwenye key. Nahitaji mbili pamoja na mwenzangu ofisini.
Ninashukuru...
Habar wakuu nna pc yangu aina ya HP probook ci5 nlmuazmisha mtu akataka kuicharge kwa adapter tofaut ikapga shot ile adapta na pc ikagoma kuwaka pia imekatka huks (frame zlzo shkilia kioo) naomb...
Wakuu natumai nyote mu-wazima.
Binafsi ni mgeni katika blogging business, I have gotten my own blog, sasa najua humu kupo na wataalamu na wazoefu wa hii business.
Hivyo basi naomba kusikia kutoka...
Mimi ni kijana ambae ni mtafutaji nataka niwekeze kwenye blogging hivyo basi naomba mwongozo na ushauri juu ya kazi hii. Na pia nawezaje kujiunga na Google AdSense
Ahsanteni[emoji120]
Wakuu Mimi si Fundi wala sina utaalamu wa mambo ya umeme nini kinasababisha feni inachelewa kuwaka ukiwasha afu hata ikiwaka inafanya kazi na kusizi baada ya mda fulani
Wakauu hii PC nimekuwa nitumia mda mrefu ila ghafla naona spika moja haitoi sauti
Mwenye ujuzi msaada hapo nini kifanyike
Ili hata nikiwa naenda kwafundi nijue napeleka nikiwa najua shida ni kitu...
Ni mda sana umepita nilikuwa najaribu kufungua akaunti ya paypal nashindwa leo nimeweza,nimeona kushea na wengine waliokua na tatizo kama langu wafaidike.
Zingatia yafuatayo;
1. Hakikisha una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.