ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Wakuu habarini ..
nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active na ukiwasha data inaonesha 4g iko active but haina nguvu
Nimejaribu kugoogle nkakuta ni simu iliyotengenezwa kwa matumiz ya u.s.a
Ninawezaje kuifanya hii simu isupport 4g kwa mitandao yetu?au labda kuna setting wataalamu?
Nawasilisha