kuflash hakuta tatua tatizoSimu yangu ina support 2G only .sada kama kuna namna nawezq iflash network ikakamata 3G mnisaidie ujuzi huo nami nifurahie internet maana ss hata kuwatch youtube siwezi kabisa ,naombenj mnisaidie kwa hili sasa ,simu yangu ni Samsung Duos GT-S7262.