Simu mpya za Iphone 7, Plus zina matatizo ya Bluetooth, LTE hazipandishi Network

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu simu hizo zimekuwa na matatizo ya kutokusoma line na bluetooth kutokufanya kazi pia. wateja wengi wameripoti matatizo hayo kwa wahusika na nia za kutatua tatizo hilo zinatafutwa pamoja na kutolewa ushauri wa awali.
Binafsi sijajua matatizo hayo yatapatiwa ufumbuzi au simu zitarudishwa Apple.
 
Msihangaike na simu ambazo bei ghali halafu zina kasoro kibao, nunueni tecno phantom 6 au tecno C9 kwa bei nafuu, simu bomba.
 
Ingekuwa Tecno mngepondea wachina simu zao feki lakini kwakuwa ni Americans watu kimyaa...
 
Ndio maana mimi husubiri watu wanunue kwanza, halafu nione nini kinajiri.

Hata leo nilikuwa dukani nazicheki, ila kama kawa nasubiri kwanza.
 
Iphone ni kubwa jinga tu.... Karibuni kwenye ulimwengu wa LG V10.....
 
Hahahaha tecno wapo vizuri sumsang mwenyewe sasa hivi anaisoma namba

Hahaha Tecno wana invest kwenye camera tu, washajua watoto wa kike wanapenda selfie basi wanaongeza tu Megapixel za front camera. Saiv wametoa sim front camera ina megapixel 20[emoji23][emoji23]
 
kama hazipandishi network mwone Mzizi Mkavu dawa anayo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
Hahaha Tecno wana invest kwenye camera tu, washajua watoto wa kike wanapenda selfie basi wanaongeza tu Megapixel za front camera. Saiv wametoa sim front camera ina megapixel 20[emoji23][emoji23]
Hiyo tecno I aitwaye?
 
Hahaha Tecno wana invest kwenye camera tu, washajua watoto wa kike wanapenda selfie basi wanaongeza tu Megapixel za front camera. Saiv wametoa sim front camera ina megapixel 20[emoji23][emoji23]
Hahahaha haha sawa sijakataa unatakiwa uangalie mahitaji ya soko na kwenye hilo tecno wamefanikiwa labda ungeweza kuniambia kwa Samsung kitu gani inaweza kufanya tecno ikashindwa
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu simu hizo zimekuwa na matatizo ya kutokusoma line na bluetooth kutokufanya kazi pia. wateja wengi wameripoti matatizo hayo kwa wahusika na nia za kutatua tatizo hilo zinatafutwa pamoja na kutolewa ushauri wa awali.
Binafsi sijajua matatizo hayo yatapatiwa ufumbuzi au simu zitarudishwa Apple.
Inaweza kuwa software bug hivo wanaweza kui fix kwa Kuachia Update
 
Chanzo cha habari? Maana sijaona walionunua wakisema hivo
 
Hahahaha haha sawa sijakataa unatakiwa uangalie mahitaji ya soko na kwenye hilo tecno wamefanikiwa labda ungeweza kuniambia kwa Samsung kitu gani inaweza kufanya tecno ikashindwa
Weka game la call of duty halafu nyote chezeni kisha lete majibu.
 
Back
Top Bottom