CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,809
- 1,808
Nokia hawatabiriki kabisa. Wameamua kutengeneza tena feature phone iitwayo Nokia 3310 ambayo ilijulikana kama "jeneza".Ni simu iliyouzwa sana wakati huo kuliko simu nyingine zote-simu milioni 126!
Sijui kwa nini Nokia wameamua kuitengeneza tena. Cha kushangaza zaidi licha ya ulimwengu wa sasa wa touch, whatsapp,instagram, facebook,nk watu wanasema wanaisubiri kwa hamu Nokia 3310 itakayotangazwa kwenye World Mobile Congress mwezi huu na itauzwa kwa $59.
Habari kamili hii hapa: Nokia 3310, beloved and 'indestructible' mobile phone, to be reborn