wajuzi, naomba kujua king'amuzi cha startimes bundle zake zikoje,,,, natumia tigopesa yaani zipo za bei gani na unapata vitu gani,,, nisaidiwe pia jinsi ya kununua
Facebook ni moja kati ya mtandao mkubwa sana wa kijamii, ukubwa wa mtandao huo umepelekea pia facebook kuwa moja kati ya mtandao ambao unaongoza kwa kukusanya data za watumiaji wake kuliko mtandao...
Hii ni miongoni mwa simu iliyouzwa kwa wingi duniani kuliko simu nyinginezo.
Simu ya Nokia 3310 iliingia sokoni miaka 17 iliyopita na ikaachwa kutengenezwa tena. Inakadiriwa kuwa simu 126 million...
Habari zenu wana jf,
naomba tujadidiane juu ya hivi vitu hapa
1. internet protocal address (IP address) na
2. International Mobile Station Equipment Identity. (IMEI).
wadau, mimi huwa...
Kwa mudaa mrefu sana ASLR has been a pain in the ass Kwa exploits.Lakini finally ASLR has fallen.JavaScript exploit can give you access to the base address of a process hence Swift payload...
NITAIPATAJE HII SIMU YANGU,
Ni hivi wakuu,
Mwezi wa 12 mwaka 2016 nilinunua simu ya Samsung Galaxy S3 ikiwa used kutoka kwa rafiki. Sasa hii simu nimetumia kama week mbili tu mwezi wa kwanza...
1. Baada ya kufuta files kwenye recycle bin huwa zinaenda wapi? Na je, inawezekana kupata hizo data baada ya kuwa zimefutwa kwenye recycle bin?
2. Kwa upande wa simu, data pia huwa zinaenda wapi...
Una blog au website na ungetaka usaidizi wa content management , website optimization na mbinu za kupata heal kupitia website yako, blog au hata social media pages zako, ni pm for consultation
Nimefanikiwa kuUnlock Huawei Y3II 4G Bootloader kutoka tigo kupitia web ya Huawei lakini kuRoot sim bado inshu nimejaribu karibia Apps zote still simu inajiRestart kila nikijaribu kuiroot au...
[emoji102]MGUCCI GADGETS[emoji102]
Best IPhone's Dealers
Is Back like [emoji209]
IPhone 5c
GB 16
Bei 350,000
IPhone 5s
GB 16
Bei 470,000
IPhone 5s
GB 32
Bei 530,000
IPhone 6
GB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.