Je, hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy?

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
803
1,284
PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC
PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz
RAM : 8GB
MEMORY : 1 TB

Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni kweli wadau??
Anaiuza kwa 1.2mil,hapo je vipi ni reasonable au ananipiga???? msaada tafadhali

Chief-Mkwawa
 
1. bei sio reasonable laptop ya i3 ya kawaida max ni laki 8 ikizidi hapo atleast inabidi iwe special kwa kuwa na vitu kama dedicated gpu, ssd etc hapo naona anakupiga

2. hio laptop haichezi games zote, game kibao za 2016 na za zamani nzito haitacheza.

labda kama ina gpu nyengine ambayo hujaiandika hapo ila kama specs ni kama ulizoandika kwa bei hio achana nayo,
 
PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC
PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz
RAM : 8GB
MEMORY : 1 TB

Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni kweli wadau??
Anaiuza kwa 1.2mil,hapo je vipi ni reasonable au ananipiga???? msaada tafadhali

Chief-Mkwawa

Hapo hakuna jipya sanasana utakuwa umenunua RAM na Harddisk. Hiyo processor ya "U" (5005U) ni mobile processor sio mbaya ila ni ya kawaida kwa shighuli za kawaida. Akuambie GRAPHICS ina specs gani.

Computer kama hiyo HP250, Processor 5005U, 4GB RAM, 500GB HDDna INTEL HD, ina bei kati ya 800,000/= hadi 700,000/=. sasa hapo amekuongezea Hard disk na RAM ndio bei ikapanda hivyo. Sio mbaya lakini tafuta Computer yenye processor isiyo na "U" na yenye Graphics ya maana.

upload_2017-2-14_13-52-1.png
 
Hawa jama kuna kitu wanakosea kucoment ni kwamba intel ina processor zake kama
icore
celeron
pentium
sasa processor zina generation zake kwa mfano hiyo 5005U ni fifth generation manakee iko poaa sana ukiangalia heneration latest ni 7th afu pia izo processor zinazoishia na U ndo processor nzur za intel so iyo pc inacheza games zotee
 
hapana U ni za chini toka mwisho

-zisizoishiwa na kitu
-zinazoishiwa na s
-zinazoishiwa na T
-zinazoishiwa na HQ
-zinazoishiwa na M au H
-zinazoishiwa na U
-zinazoishiwa na Y

hizo zinazoishiwa na Y ndio ndogo kabisa zinatumia umeme kama 4.5 watts, zinazoishiwa na U ni za pili toka chini zinatumia watts 15 nazo pia hazina nguvu sana.

huwezi kuwa na laptop ya U ukacheza games zote hizo ni ndoto za alinacha, labda iwe ni skylake au kabylake.
 
PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC
PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz
RAM : 8GB
MEMORY : 1 TB

Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni kweli wadau??
Anaiuza kwa 1.2mil,hapo je vipi ni reasonable au ananipiga???? msaada tafadhali

Chief-Mkwawa

mkuu 1.2 nying sana kwa hiyo, nakuapia hiyo hata fifa15 hairun vzr,
 
PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC
PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz
RAM : 8GB
MEMORY : 1 TB

Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni kweli wadau??
Anaiuza kwa 1.2mil,hapo je vipi ni reasonable au ananipiga???? msaada tafadhali

Chief-Mkwawa

Hapo unapigwa HuuuuHaaaa Haiiiiii Nhaaa
Hio hapo deadpool tu haichezi kudadeki
 
Shukrani sana wakuu kwa michango yenu... Bila nyie nilikuwa naenda kupigwa mubasharaaa kabisa..
Sasa nishaurini sasa ipi ni laptop nzuri kwa heavy games?... Na ni shiling ngapi?
 
Tz sijui km zipo, ila agiza andaa 2,000,000 utacheza gemu zozote
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Shukrani sana wakuu kwa michango yenu... Bila nyie nilikuwa naenda kupigwa mubasharaaa kabisa..
Sasa nishaurini sasa ipi ni laptop nzuri kwa heavy games?... Na ni shiling ngapi?
best laptop ya games kwa sasa ni dell inspiron 15 7000 yenye nvidia gtx 1050ti na i7 quad 7700HQ kwa dola 800 nafkiri muda si mrefu itatoka version ya i5 kwa around dola 700 hadi 750.

dell wao wameanza kampuni nyengine soon nazo zitatoa budget gaming laptop zenye 1050 kwa bei hizo hizo.

hio 1050 ni uhakika kwa 1080p games yoyote utacheza.
 
hapana U ni za chini toka mwisho

-zisizoishiwa na kitu
-zinazoishiwa na s
-zinazoishiwa na T
-zinazoishiwa na HQ
-zinazoishiwa na M au H
-zinazoishiwa na U
-zinazoishiwa na Y

hizo zinazoishiwa na Y ndio ndogo kabisa zinatumia umeme kama 4.5 watts, zinazoishiwa na U ni za pili toka chini zinatumia watts 15 nazo pia hazina nguvu sana.

huwezi kuwa na laptop ya U ukacheza games zote hizo ni ndoto za alinacha, labda iwe ni skylake au kabylake.
Mkuu vp hii ASUS Zenbook Prime
Processor: intel core i5
Graphics: intel HD Graphics 4000
Memory: 8 GB RAM
Uhifadhi:256GB SSD
 
Naweza cheza game lolote kubwa?
 
Mkuu vp hii ASUS Zenbook Prime
Processor: intel core i5
Graphics: intel HD Graphics 4000
Memory: 8 GB RAM
Uhifadhi:256GB SSD
kwa games? au mambo mengine? hio gpu haitahandle games kubwa ila games za kawaida utacheza vizuri tu, na ssd kwenye mambo ya kawaida kama office, boottime, kubrowse etc itafanya kazi kwa uharaka sana tofauti na laptop ya kawaida
 
Mkuu nakuomba pm tafadhali
 
kwa games? au mambo mengine? hio gpu haitahandle games kubwa ila games za kawaida utacheza vizuri tu, na ssd kwenye mambo ya kawaida kama office, boottime, kubrowse etc itafanya kazi kwa uharaka sana tofauti na laptop ya kawaida
Kwa games mkuu, hata hivyo asante kwa ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom